cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Dear watu wamevurugwaa niamini mie, huu ugumu wa maisha watu unawa wehushaa kabisaa, yaan hawaelewiii.Kumbe Mungu wako hana noma na wewe mshirikina, Mungu wako anapenda akikuona unagalagazwa makaburini ili upate utajiri na unapotembea na hirizi inayopomua kiunoni ili kuwakomesha majirani zako ila Wasagaji tu ndio kawakasirikia [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipoo.