Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ni kweli nimewasiliana na watu wa ggm ameuwawa vibaya sana...
Buriani Milembe Suleiman, amekutwa amekufa huku mikono yake ikiwa imekatwa.
Afisa ugavi wa mgodi wa Geita amekutwa akiwa ameuawa na viganja vya mikono yake vikowa vimekatwa. Mwaka 2017 zilitrend sana video zake akimvisha Pete ya uchumba msichana mwenzake huku wakinyonyana ndimi. Dada huyu maarufu mkoani Geita na Kanda ya Ziwa kwa ujumla kifo chake kimeacha gumzo...
Kisa nini wamemuuaa?