TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Ameacha watoto wangapi?
🤣🤣🤣 Hawa ni aina ya watu, Huwa walishajichokea kijamii, Maisha yao ni yakibinafsi, Wanaishi Leo, kesho wakifa, utasikia ,kuzaa ili iweje ??.

Wao Huwa wanakawaida ya Kujifanya wanafuraha na Amani Kwa aina ya Maisha Yao ila katika Upweke wao, Huwa ni watu wenye kuumia sana.
 
Ndio yupi hapa
gt.png
 
Huyu dada hapa mkoani Geita na kanda ya ziwa alijulikana sana kwa tabia hizi mbofumbofu,inasemekana kavunja ndoa nyingi za watu,pia ilikuwa chachu ya kuingiza vijana kwenye kundi la kuingiliwa kinyume na maumbile.
Ameuwawa kwa mapanga usiku wa kuamkia leo.

Wasiwasi wangu ni kwamba atakuwa ndio wale maajenti wa taifa lile kubwa kiuchumi duniani ambalo inasemekana kila mkoa wana ajenti wao.
Naona wana Geita wameona wakate mzizi wa fitina japo walichelewa sana.

Poleni wafanyakazi wa GGM kwa kuondokewa na mfanyakazi mwenzenu
 
Kanda ya ziwa Huwa hawapindishi maneno wanajua kutenda tu..
 
Tatizo ni jina lake "Mirembe". Wazazi wengine sijui huwa Wana visa na watoto wao, inakuwaje mzazi unamuita mwanao majina ya hovyohovyo km huyo mwendazake huko Geita.
Jina ni 'Milembe' wewe Unaandika 'Mirembe' ili useme unachokisadiki. Heshimu majina ya watu ya kilugha kama unavyoheshimu ya kizungu. Yana maana nzuri sana.
 
Back
Top Bottom