The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Wengi tunaobishana ktk haya mambo nahisi huwa hatujui wale wanaokataa wanamaanisha nini na muda wa kurekebishana wanapeana sana tatizo ni hao watenda na watendwaji hawataki kuelewa.Sijui jinsia yako sijui ni bro au?
Mku huna dhambi?
Na kama unazo ni sahihi uuawe?
Nani hana dhambi nchi hii?
Je tuuane?
Acheni ujinga.
Tupeana muda kurekebishana na sio kuuana
Hakuna mwenye uwezo wa kuwa-monitor watu wawili wazima waliojifungia ndani chumbani mwao wakifanya wanayoyajua wao unless wametaka wao jamii ijue,shida ipo hapo kutaka jamii ijue hata kama haitaki kujua lakini wanalazimisha,hakuna asiyekuwa na dhambi but lini umewahi kuona mtu timamu na akili zake akimzini mke wa mtu akarusha video akijisifia kwamba anachokifanya ni kizuri?au mtu anavunja mlango wa mtu akiiba akarusha video caption ikisema wizi unalipa na kuiba siyo vibaya?
Lakini mashoga wao wanarusha mivideo yao ya laana wakijitangaza hadharani kuwa ni mashoga na wanafurahi kuwa mashoga kwani ushoga hauna ubaya,kwanini wasiwe wanavutana mbavu kwa siri vyumbani mwao kama walivyokuwa wanafanya zamani hadi leo walazimishe kujulikana na kuheshimiwa?
Yaani mtu anadai haki ya kujulikana kama mfirwaji tena anataka taifa zima lisimame lijue who are they,huyo mwizi anayeiba akasambaza uchumi mtaani japokuwa ni illegally hajitangazi ila mshenzi mmoja hasara kwa jamii ana-post picha na vikalio vyake vichafu na vigumu kama jiwe kavibinua eti anataka haki ya kufirwa,mimi nina dhambi zangu lakini nasema acha wafe tu kama ni dhambi kusema hivi hiyo dhambi nitaibeba.