TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Hamna natare hapo, jamaa kafurahia binti kuuawa ila anajificha kwenye kichaka cha nature.

Mambo yanayotokea kwasababu nature imeamua sio kama hili tukio lilivyotokea!! Na huyu ni mmoja tu, hata hivyo yeye si wa kwanza kuuawa, watu wengi wanakatwa mapanga utasema ni nature??
Hakuna nature hapo asituongopee.

Sodoma na Gomola ziliangamizwa na Muumba sio nature kama anavyodai yeye.
 
Siku nitakayokuwa mtakatifu ndio siku nitakayotoa hukumu kwa wenzangu,kwa hizi dhambi zangu nilizonazo sina uwezo wa kutoa hukumu wala kupiga mwizi
Unao uwezo wa kuamua kuacha DHAMBI na kuishi maisha ya Utakatifu.

Itafika time mzazi atashindwa kumnyooshea kidole mtoto Kwa kushindwa kuacha matendo mabaya yanayomuondolea uwezo wa Kumkemea mtoto.

JAMII wote Kwa pamoja, tukubali kuacha DHAMBI na UOVU.

Tukiacha hayo, ndipo tutakapobarikiwa sana.
 
Shida ni kwamba watu tunaishi kwa unafiki tunachagua dhambi kwamba dhambi hii ni mbaya na dhambi hii ni nzuri ili ni tatizo.
 
catherinekahabi_ck

Hili ndio eneo la Tukio yaani Nyumba ya Marehemu
KEMILEMBE FACTS ARE:- Inasemekana alikuwa akiishi Hotelini baada ya kupangisha Nyumba yake so Akawa anaendelea na ujenzi wa hii Nyumba yake mpya(Mauwaji ya kutisha yalipofanyikia)
...Majira ya Asubuhi sana inasemekana alipigiwa simu
ikimtaka aende Site haraka kuna ishu
…..hapakuwa mbali na
Hoteli alipokuwa akiishi
..alipofika Site akavutwa ndani na
Watu Wasiojulikana walioanza kumkata kata Vipande
mpaka Wakamuua …...Baadaye Mafundi walipofika
wakaanza kupiga kelele kuita Wanachi Majirani ...chanzo
cha Mauaji hayo ya Kutisha kwa DADA ALIYEKUWA
MSAGAJI bado hazijajulikana, yawezekana labda ni Majambazi au Adui zake,Puuzeni Taarifa zinazosambazwa na Baadhi ya Mashoga kuwa Serikali imeruhusu Wananchi wawaue Wasagaji na mashoga Hadharani, Tunaliamini Jeshi la Polisi litafanya kazi yake stahiki! Watanzania Tuwe na subira lakini tuendelee kupinga ushoga na usagaji​

 
Huyu alishawahi kuleta Uzi humu akisema lesbianism inamtesa,lakini sasa anajitia ujasiri feki
 
Alijisahau nafikiri na hakuwa na mshauri ktk maisha yake binafsi
Alikuwa haanbiliki ambalo ni tatizo Kwa LGBT na wao wanajisahau kuwa hivi ni vitu vigeni plus stress za wananchi ni rahisi kufanyiwa ukatili
 
Shida ni kwamba watu tunaishi kwa unafiki tunachagua dhambi kwamba dhambi hii ni mbaya na dhambi hii ni nzuri ili ni tatizo.
Kuna dhambi na Machukizo.

Mtoto kumbaka mzazi Si dhambi ni ABOMINATION au Machukizo.

Kumwingilia Mwanaume au mtoto wa kuume kinyume ni zaidi ya dhambi, ni Machukizo.

Machukizo yakizoeleka na kuanzia kuhalalishwa, Mungu hushuka na kuhukumu Kwa ghadhabu Kali.

Kabla Mungu hajatuangamiza tuliomo na tusokuwamo, lazima tupambanie kuzuia matendo haya yasifanyike.

Turudi kwenye utanzania wetu, Tamaduni zetu, Nchi ya ustaarabu na Upendo.
 
Si ajabu ikawa hitimisho la kudhulumiana hela.. ingawaje uwezekano wa adhabu ya kuingilia wake za watu pia upo.. bila kusahau uwezekano wa sharti la mganga kwenye ramli chonganishi. Mungu amrestishe anapostahili
 
WANADAMU tuache ABOMINATION.

Kutenda Machukizo ni hatari Kwa Dunia na mustakabali wetu wa vizazi vijavyo.

Turehemu WANADAMU ee Mungu.

Amen
 
Huko Geita wanauwana Kila siku ,kuanzia Albino Hadi vikongwe.
So Mimi sioni Cha ajabu huko. Walishazoea haya
Geita ni kisanga aisee

Kuna dada mmoja pisi Kali sana alikuwa mwalimu Geita DC alikufa kwa kuwekewa sumu kwenye Chakula

Bila ilikuwa ishu za mapenzi
 
Aliwahi kushikiliwa na Jeshi la Polisi huyu kwa hizi tabia zake hadi kufikishwa Mahakamani
Your browser is not able to display this video.
 
Wawili kamoja hata miezi 6 hakana
Duuuh! inasikitisha sana,watoto ndiyo hivyo,wamebaki yatima,jamii imemhúkumu mama yao kifo tayari.Mwenyezi Mungu awape moyo wa uvumilivu hao watoto na ndugu wa marehemu pia.Inasikitisha sana roho ya mtu,awe mwizi,shoga,msagaji,mla rushwa,fisadi n.k kutolewa.Sheria zipo,tuzitumie.Kuna watu wanakufa mahospitalini kisa pesa hawana,na kodi zao zimekusanywa kipindi wazima wa afya,lakini kwa muda huo hawana pesa,na pesa alizokusanya serikali kwa njia mbalimbali inasikika taarifa ya CAG kua zimetafunwa na wezi hawafanywi chochote.Wezi wa pesa za umma,wanatuua indirectly ila hatua kali hazichukuliwi kama Zinavyochukuliwa dhidi ya wasagaji,mashoga,wakwapuaji wa simu na wengineo.Ukali wa jamii unaoonyeshwa juu ya watu wa jinsia moja,ndiyo ungekua unaoonyeshwa hata kwa wezi wa mali za umma.ingekua hivyo,jamii ingekua na maendeleo sana.Leo hii Mungu anashuhudia watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja,wanauawa na huku YEYE mwenyewe kwenye orodha ya amri kumi za Mungu,hakuna aliyoiwekea NYOTA kua hii ikitendwa,ni dhambi KUBWA kuliko nyingine,namaanisha kwenye kitabu cha dini ninayoifuata,Biblia.Dhambi iliyosemwa ni kumkufuru Roho Mtakatifu.Pole kwa familia yake na waliomuua wajitafakari, ukute hawasagani,ila ni wezi,ukute hawasagani ila ni wasengeny ki,ukute hawasagani ila ni waasherati.Tuwapeleke mbele ya sheria tulizojiwekea,hawa watu,tusiwaue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…