Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Hamna natare hapo, jamaa kafurahia binti kuuawa ila anajificha kwenye kichaka cha nature.
Mambo yanayotokea kwasababu nature imeamua sio kama hili tukio lilivyotokea!! Na huyu ni mmoja tu, hata hivyo yeye si wa kwanza kuuawa, watu wengi wanakatwa mapanga utasema ni nature??
Hakuna nature hapo asituongopee.
Sodoma na Gomola ziliangamizwa na Muumba sio nature kama anavyodai yeye.