TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Huwezi ukawamaliza!
Hasira ya Muumba íliwaangukia sodoma na gomora lakini hadi unapo soma hii post watu wanasembuana malinda!
Huu ni ugonjwa kama magonjwa mengine wataalamu watafute dawa.....
 
sitaki kuhukumu ila ninaamini ukiwa na mke ukapata ushahidi kwamba mwanamke mwenzie anamsaga, itakuwa inauma sana. just imagine.
 
Nipo hapa kwenye foleni mwanza nimempa lift mwanamke mmoja sasa nasikia anaongelea hayo mauaji kwenye simu. Na siwezi kumuuliza.

Ila kwa anavyoongea inaonekana huyo mwanamke alikua anatongoza wanawake wenzie na anajulikana hadharani. Na inasemekana kauliwa na kukatwa mkono.

Wenye taarifa kamili tujulisheni.

Nawasilisha.

UPDATE

POLISI YATHIBITISHA KUTOKEA KWA MAUAJI


Akizungumzia kuhusu taarifa hizo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amesema “Ni kweli tukio hilo limetokea, marehemu ametambulika kwa jina la Milembe Suleiman alikuwa mfanyakazi wa GGM, kitengo cha Ugavi amekutwa ameuawa katika eneo ambalo anajenga nyumba zake.

Eneo ambapo tukio limetokea linaitwa Mwatulole ambazo zilikuwa katika hatua ya ujenzi, mpaka sasa wameshikiliwa watu wanne na uchunguzi unaendelea.”

Alipotakiwa kuelezea kuhusu uchunguzi wa awali wa tuko hilo amesema “Yaani hatujabaini chochote mpaka sasa, ndio maana uchunguzi unaendelea.”

Pia soma
--

View attachment 2600221
Milembe Suleiman enzi za uhai wake​
Kwa hiyo Picha ya Milembe tu....
Dume jike
 
Sema ukwel ye ndo kakupa lift [emoji81][emoji81],mtu ulie mpa lift huwezi kuogopa kumuuliza lakini aliye kupa uta ogopa kumuuliza
Na muda wa kutype huku Jeiefu mtu anayedraivu inawezekana kweli, kwamba Mwanza Kuna foleni sana pia 😀
 
Wameachana na bonge ?alimvisha hadi pete na insta walikuwa wanajirusha sana,sasa hivi yupo na nani?na alikuwa anataka kuzaa mtoto Milembe ukisikia kajifungua usishangae maana ana mtoto mmoja tu
Ana mtoto wa pili since last year
 
Ila waTz hizi tabia za kuua uana mmerithi wapi hizi roho? Mtu anaweza kuja kukuua kwa mambo yake personal akakusingizia ushonga/usagaji. Shauri yenu mkijihisi mko salama.
Walipoingia wakimbizi ndio watu wakajifunza kuuwana

Wale wana roho mbaya sana na waliingia na silaha nzito wakawa wanateka mabasi na kuuwa sana
Magu aliwanyoosha na walilazwa haswa
Sasa wameacha masalia

Kinachoongeza ukatili pia na kutokuwa na woga ni video zinaposambaa kila mmoja kuona ukatili

Siku hizi mauwaji yamekuwa kawaida sana mpaka watoto wanauwawa tu

Mungu atustiri
 
Tatizo ni jina lake "Mirembe". Wazazi wengine sijui huwa Wana visa na watoto wao, inakuwaje mzazi unamuita mwanao majina ya hovyohovyo km huyo mwendazake huko Geita.
Jina lake ni "Kemilembe", jina lenye maana nzuri tu kwa kihaya.
 
Kama mtu mwenyewe alikuwa anavuta sigara, na alivyokuwa mbabe na matusi juu inawezekana hata Bangi alikuwa anavuta unategemea nani angeweza kumshauri.
Alikuwa haanbiliki ambalo ni tatizo Kwa LGBT na wao wanajisahau kuwa hivi ni vitu vigeni plus stress za wananchi ni rahisi kufanyiwa ukatili
 
Back
Top Bottom