KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,370
- 5,381
Agent kauwawa so wanaomsema vibaya wote comments zao zimefutiliwa mbaliKuna mda nlikua offline kurud naona mbna comment zimeshuka au huu ni uzi mwngne kumbe ni janja ty sijui shida ipo wapi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Agent kauwawa so wanaomsema vibaya wote comments zao zimefutiliwa mbaliKuna mda nlikua offline kurud naona mbna comment zimeshuka au huu ni uzi mwngne kumbe ni janja ty sijui shida ipo wapi mkuu
Wacha inyeshe panapovuja tutapaona tu. Au unatetea haki zenu?Kwahiyo mnajitapa kuua watu?
Hilo lishangazi lipuuze lina makasiriko sana, halijawahi kuolewa wala kuzaa kila siku linacheza amapiano kwenye harusi za wenzie,Adhabu gani ya Mungu? Kuuwawa na wendawazimu?
Kwani mtu akisagana unapungukiwa nini?
Hauwezi kumeza ugali kwa sababu mtu amesagana?
Page ya nani?Nimeona insta ana mtoto mwingine wa miezi 8 0r 9
Kuna mda nlikua offline kurud naona mbna comment zimeshuka au huu ni uzi mwngne kumbe ni janja ty sijui shida ipo wapi mkuu
Dah tuko wengi humu, huyu alikuwa Upinde maarufu sana. Niliondoka GGM mwaka 2011 kwenda Kakola then Nmara.2019 tu tulikuwa na wakina paul kabogi mwamba fulan hivi Bonge la mtu yani sema yupo poa sana jamaa katembea nchi zote za G20
Wahuni wanajifanya wanahukumu balaa.
Sasa huyu dada kawakosea nini? Mtu ana maisha yake, hali cha mtu, haibi cha mtu lakini unakuta kuna majitu yamemkamia yanataka kumtoa roho kisa tu anasagana!
Usagaji wake una athari gani?
Huyu mwanamke kama ni pesa alikuwa nayo haswa, last time nilivyokuwa Geita nilipewa story yake na aliyekuwa Mkuu wa ulinzi GGM (RIP).
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka sana.Hilo lishangazi lipuuze lina makasiriko sana, halijawahi kuolewa wala kuzaa kila siku linacheza amapiano kwenye harusi za wenzie,
Mashavu yamechuma kunde basi akikasirika mikunyanzi ya uso inatokeza linatia huruma, lipuuze tu
HAHAHAHAHAHAKukojoza wakati wa foreplay tu.....
Yani kipenga kikilia goli nimesoma hapo juu
Unahisi? Au ndivyo walivyosema? Majitu mengine huwa hamjui kujieleza! Wewe unaona kabisa habari inasema mfanyakazi wa GGM wewe unasema unahisi?Nahisi Ni yule alikuwa anafanya kazi GGM
habari(heading na content) imekua edited na mod, wameongezea vitu vingi sanaUnahisi? Au ndivyo walivyosema? Majitu mengine huwa hamjui kujieleza! Wewe unaona kabisa habari inasema mfanyakazi wa GGM wewe unasema unahisi?
Inashangaza wanavyoengue comments.Mbona michango inapunguzwa kwa kasi sana shida nini moderators
USSR
Jike shupa!Nipo hapa kwenye foleni mwanza nimempa lift mwanamke mmoja sasa nasikia anaongelea hayo mauaji kwenye simu. Na siwezi kumuuliza.
Ila kwa anavyoongea inaonekana huyo mwanamke alikua anatongoza wanawake wenzie na anajulikana hadharani. Na inasemekana kauliwa na kukatwa mkono.
Wenye taarifa kamili tujulisheni.
Nawasilisha.
======
UPDATE;
POLISI YATHIBITISHA KUTOKEA KWA MAUAJI
Akizungumzia kuhusu taarifa hizo, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ACP Berthaneema Mlay amesema “Ni kweli tukio hilo limetokea, marehemu ametambulika kwa jina la Milembe Suleiman alikuwa mfanyakazi wa GGM, kitengo cha Ugavi amekutwa ameuawa katika eneo ambalo anajenga nyumba zake.
Eneo ambapo tukio limetokea linaitwa Mwatulole ambazo zilikuwa katika hatua ya ujenzi, mpaka sasa wameshikiliwa watu wanne na uchunguzi unaendelea.”
Alipotakiwa kuelezea kuhusu uchunguzi wa awali wa tuko hilo amesema “Yaani hatujabaini chochote mpaka sasa, ndio maana uchunguzi unaendelea.”
Pia soma
--
- Mfanyakazi wa kike wa GGM ashikiliwa na Polisi kwa kumvisha Pete Mwanamke mwenzake
- Mwanza: Janeth Shonza & Milembe wafikishwa Mahakamani kwa kosa la kushiriki mapenzi ya jinsia moja, wakana mashtaka...
View attachment 2600221
Milembe Suleiman enzi za uhai wake
Aaah, basi huyu mwamba anisamehe bure! Nikawa nashangaa!habari(heading na content) imekua edited na mod, wameongezea vitu vingi sana
habari ya kwanza kabisa(ambayo jamaa ndiyo alijibu) ilikua ni tetesi, na victim hakujulikana ni nani
Ni yeye ameuwawa kweli ila chanzo hakijulikani wamemuuwa kwenye boma lake allokuwa anajenga jana usiku sasa kugundulika mafundi wamegundua asubuhi walivyofika maana unaambiwa jana jioni alienda kuwalipa mafundi na alikuwa amevaa zake dera na ndio hata picha akiuwawa zipo hivyo hivyo na pia ametokq juzi kati kujifungua katoto alikuwa na mimba kubwa tu japo wengine wanadai alikuwa hajajifungua ila mimi nimeambiwa kajifungua mtoto njiti wa miezi 7 na mtoto alikuwa yupo mwanza na yeye huku geita ndio kwao ila sasa yeye Ana mji mwanza hivyo na jana ndio alikuwa ameanza off kwa ajili ya kurudi mwanza ....na pia mafundi wakamwambia boss tupe lift turudi wote town akasema aah nyie tangulieni tu kuna mtu namsubiri ...sasa huyo aliekuwa anasubiriwa ndio hatujui na nasikia kachunwa hadi ngozi usoni japo picha ni amelala kifudifudi