TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Alishawahi kupanda kizimbabi kwa kumuoa Jesca Shonza
20230426_203013.jpg
 
Adhabu gani ya Mungu? Kuuwawa na wendawazimu?

Kwani mtu akisagana unapungukiwa nini?

Hauwezi kumeza ugali kwa sababu mtu amesagana?
Hilo lishangazi lipuuze lina makasiriko sana, halijawahi kuolewa wala kuzaa kila siku linacheza amapiano kwenye harusi za wenzie,

Mashavu yamechuma kunde basi akikasirika mikunyanzi ya uso inatokeza linatia huruma, lipuuze tu
 
Wahuni wanajifanya wanahukumu balaa.

Sasa huyu dada kawakosea nini? Mtu ana maisha yake, hali cha mtu, haibi cha mtu lakini unakuta kuna majitu yamemkamia yanataka kumtoa roho kisa tu anasagana!

Usagaji wake una athari gani?

Shida kama alikuwa anavunja ndoa za watu. Anyway, polisi watatupa mwelekeo
 
Hilo lishangazi lipuuze lina makasiriko sana, halijawahi kuolewa wala kuzaa kila siku linacheza amapiano kwenye harusi za wenzie,

Mashavu yamechuma kunde basi akikasirika mikunyanzi ya uso inatokeza linatia huruma, lipuuze tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka sana.

Yaani anasikitisha sana, amejaa makasiriko makali, kila mahali anatema chuki na huzuni.

Huyu ni kweli anaonekana ana matatizo binafsi kama unavyosema.
 
Unahisi? Au ndivyo walivyosema? Majitu mengine huwa hamjui kujieleza! Wewe unaona kabisa habari inasema mfanyakazi wa GGM wewe unasema unahisi?
habari(heading na content) imekua edited na mod, wameongezea vitu vingi sana
habari ya kwanza kabisa(ambayo jamaa ndiyo alijibu) ilikua ni tetesi, na victim hakujulikana ni nani
 
Nipo hapa kwenye foleni mwanza nimempa lift mwanamke mmoja sasa nasikia anaongelea hayo mauaji kwenye simu. Na siwezi kumuuliza.

Ila kwa anavyoongea inaonekana huyo mwanamke alikua anatongoza wanawake wenzie na anajulikana hadharani. Na inasemekana kauliwa na kukatwa mkono.

Wenye taarifa kamili tujulisheni.

Nawasilisha.

======

UPDATE;

POLISI YATHIBITISHA KUTOKEA KWA MAUAJI


Akizungumzia kuhusu taarifa hizo, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ACP Berthaneema Mlay amesema “Ni kweli tukio hilo limetokea, marehemu ametambulika kwa jina la Milembe Suleiman alikuwa mfanyakazi wa GGM, kitengo cha Ugavi amekutwa ameuawa katika eneo ambalo anajenga nyumba zake.

Eneo ambapo tukio limetokea linaitwa Mwatulole ambazo zilikuwa katika hatua ya ujenzi, mpaka sasa wameshikiliwa watu wanne na uchunguzi unaendelea.”

Alipotakiwa kuelezea kuhusu uchunguzi wa awali wa tuko hilo amesema “Yaani hatujabaini chochote mpaka sasa, ndio maana uchunguzi unaendelea.”

Pia soma
--

View attachment 2600221
Milembe Suleiman enzi za uhai wake​
Jike shupa!
 
Ni yeye ameuwawa kweli ila chanzo hakijulikani wamemuuwa kwenye boma lake allokuwa anajenga jana usiku sasa kugundulika mafundi wamegundua asubuhi walivyofika maana unaambiwa jana jioni alienda kuwalipa mafundi na alikuwa amevaa zake dera na ndio hata picha akiuwawa zipo hivyo hivyo na pia ametokq juzi kati kujifungua katoto alikuwa na mimba kubwa tu japo wengine wanadai alikuwa hajajifungua ila mimi nimeambiwa kajifungua mtoto njiti wa miezi 7 na mtoto alikuwa yupo mwanza na yeye huku geita ndio kwao ila sasa yeye Ana mji mwanza hivyo na jana ndio alikuwa ameanza off kwa ajili ya kurudi mwanza ....na pia mafundi wakamwambia boss tupe lift turudi wote town akasema aah nyie tangulieni tu kuna mtu namsubiri ...sasa huyo aliekuwa anasubiriwa ndio hatujui na nasikia kachunwa hadi ngozi usoni japo picha ni amelala kifudifudi

Nomaa haisee
 
Back
Top Bottom