Hupajui geita wewe?Kama kauawa kweli basi itakua ni ishu nyingine nje ya huo usagaji,, sioni ni namna gani mtu atachukua hatua za namna hiyo kwa lesbo,, kwa kipi hasa yani,, tena kwa Geita,, hapana
Kiukweli mpaka sasa haieleweki kila mtu anasema lake, ngoja uchunguzi wa polisi utatupa majibu tusije itwa kusaidia polisi babe wangu nasikia mbu wa rumande wanang'ata kama vampiresKwa kweli dear, [emoji24][emoji24][emoji24]
Ila dear naona km hii iko zaidi ya tunavyotaka kufahamishwaa,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hilo bazazi LIKUD limepigwa ban kaja na ID nyingine kwa aibu kajifanya upuuzi wake ameutoa Insta, walai vichaa wamejaa mitaani wazima ndio wapo hospital,
Libaba kama lile lenye mvi hadi kwapani linajitekenya na kucheka lenyewe kwenye mitandao, lol [emoji23]
Kwani Msukuma ni mbunge wa Geita mjini ? Kanyasu ndiyo Geita mjiniSiku hizi Geita imekuwa kitovu Cha uhalifu wa akila aina, huku Mbunge Joseph Kasheku Musukuma akioongea upuuzi bungeni
Kuna haja ya kumpeleka Kamanda Muliro J Muliro kuwa RPC wa Geita.
Naona sasa tupo seriousNi yeye kachinjwa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]Kiukweli mpaka sasa haieleweki kila mtu anasema lake, ngoja uchunguzi wa polisi utatupa majibu tusije itwa kusaidia polisi babe wangu nasikia mbu wa rumande wanang'ata kama vampires
Sasa naye ni hela zilimchaganya au Nini nimeona clip anabusiana na wanawake wengine watatu mubashara hata haogopi wakati kibongo hata mwanamke kubusiana na mwanaume hadharani ni msalaHuyu mwanamke kama ni pesa alikuwa nayo haswa, last time nilivyokuwa Geita nilipewa story yake na aliyekuwa Mkuu wa ulinzi GGM (RIP).
Yaani midume iliibiwa warembo na mrembo 🤣🤣🤣🤣 aisee hatari. Ni bilionea huyo marehemu niniHakuna cha majambazi wala nini! Huyu demu alikuwa akisimama na demu mwenzake anamcontain asilimia 100 na lazima amle siku hiyo hiyo..Demu lilikuwa halilazi damu hili. Mwaka 2016 niliwahi kupata story zake yani kipindi hicho alikuwa amewala mademu wengi na wakali kuliko mimi shababi. Kuna mnyarwanda mmoja nilikuwa namnyatia alikuwa na mzigo halafu White siku moja namkuta kwa hili lisagaji kavaa khanga huku lisagaji likiwa limevaa pensi wamekaa wanakula ugali kwa mtindi aiseee huyu demu nilimvulia kofia. Inawezekana kabisa wana waliomuua watakuwa wamechapiwa na tomboy wakaona isiwe kesi! Mwana alikuwa mwingi yani anakupokonya live huku unaona akimpenda tu mtu wako wafwaaa.
Pole wana familiaNipo hapa kwenye foleni mwanza nimempa lift mwanamke mmoja sasa nasikia anaongelea hayo mauaji kwenye simu. Na siwezi kumuuliza.
Ila kwa anavyoongea inaonekana huyo mwanamke alikua anatongoza wanawake wenzie na anajulikana hadharani. Na inasemekana kauliwa na kukatwa mkono.
Wenye taarifa kamili tujulisheni.
Nawasilisha.
======
UPDATE;
POLISI YATHIBITISHA KUTOKEA KWA MAUAJI
Akizungumzia kuhusu taarifa hizo, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ACP Berthaneema Mlay amesema “Ni kweli tukio hilo limetokea, marehemu ametambulika kwa jina la Milembe Suleiman alikuwa mfanyakazi wa GGM, kitengo cha Ugavi amekutwa ameuawa katika eneo ambalo anajenga nyumba zake.
Eneo ambapo tukio limetokea linaitwa Mwatulole ambazo zilikuwa katika hatua ya ujenzi, mpaka sasa wameshikiliwa watu wanne na uchunguzi unaendelea.”
Alipotakiwa kuelezea kuhusu uchunguzi wa awali wa tuko hilo amesema “Yaani hatujabaini chochote mpaka sasa, ndio maana uchunguzi unaendelea.”
Pia soma
--
- Mfanyakazi wa kike wa GGM ashikiliwa na Polisi kwa kumvisha Pete Mwanamke mwenzake
- Mwanza: Janeth Shonza & Milembe wafikishwa Mahakamani kwa kosa la kushiriki mapenzi ya jinsia moja, wakana mashtaka...
View attachment 2600221
Milembe Suleiman enzi za uhai wake
Hii ya watu wenye vipara kuuwawa mwakani ni kweli au?
Kwani si anaishi maisha yake? Amemkosea nani?Sasa naye ni hela zilimchaganya au Nini nimeona clip anabusiana na wanawake wengine watatu mubashara hata haogopi wakati kibongo hata mwanamke kubusiana na mwanaume hadharani ni msala
[emoji28][emoji28]nilijuaga Malaya ni wanaume tu kumbe Hadi lgbtHakuna cha majambazi wala nini! Huyu demu alikuwa akisimama na demu mwenzake anamcontain asilimia 100 na lazima amle siku hiyo hiyo..Demu lilikuwa halilazi damu hili. Mwaka 2016 niliwahi kupata story zake yani kipindi hicho alikuwa amewala mademu wengi na wakali kuliko mimi shababi. Kuna mnyarwanda mmoja nilikuwa namnyatia alikuwa na mzigo halafu White siku moja namkuta kwa hili lisagaji kavaa khanga huku lisagaji likiwa limevaa pensi wamekaa wanakula ugali kwa mtindi aiseee huyu demu nilimvulia kofia. Inawezekana kabisa wana waliomuua watakuwa wamechapiwa na tomboy wakaona isiwe kesi! Mwana alikuwa mwingi yani anakupokonya live huku unaona akimpenda tu mtu wako wafwaaa.
Acha kabisaa babeee, huko rumandee mie sipataki hata kuona.Kiukweli mpaka sasa haieleweki kila mtu anasema lake, ngoja uchunguzi wa polisi utatupa majibu tusije itwa kusaidia polisi babe wangu nasikia mbu wa rumande wanang'ata kama vampires
Sheria ndio kuwauwa tuHakuna sheria inayozuia USAGAJI Tanzania.
Mungu aliyeumba mtu mke na mtu mume ni very smart. Mwanamke huwezi kuwa mwanaume, eti kwa kumchokonoa ukeni mwanamke mwenzako na kumpa hela kisha ujifanye mkeo hiyo ni laana.Naona sasa tupo serious
Hata Mungu aliichoma Sodoma na gomola sababau ya mashoga na usagaji na sisi tunaanza kimyakimyaAnashabikia mauaji huyo, halafu huwa anajifanya yuko SPIRITUAL sana.
Mtu gani spiritual anashangilia mauaji?? unajua tunadanganywa sana na hawa wahuni wa mitandaoni!
Usikute kuna majini humu yanalaghai watu kwa kujifanya yanamjua mungu kumbe hewala.
Nimemuona na yule ASKOFU WA UFUFUO NA UZIMA yupo humu anashangilia mauaji.
Habari mbaya sana kwa masagaji na mashoga hii.Sheria ndio kuwauwa tu
USSR
Leo tunafauraha sagaji moja down na mashoga matatu wiki hii yamefungwaWamejawa unafikii balaaa. Wanadhani waki hukumu wengine wao wanakua watakatifu.
Kumbe wanaishia kuumia na kuteseka nafsini mwao.
Haiwezekani irudi ni kuyapunguza angalau sasa yaone hatari yajificheMshenzi sana huyo LIKUD, hakuna NATURE inayoruhusu mtu kuua mwenzake kwa msingi wowote ule.
Jambo la uhakika ni kuwa, UKIUA mtu unatengeneza KARMIC CYCLE ambayo itakurudia kwa kasi sana. Hiyo ndiyo TRUE NATURE, na sio huu ulaghai wa LIKUD wa kuchochea mauaji ya watu wasio na hatia.
LIKUD ni tapeli mjanja mjanja, anawadanganya watu eti atawaunganisha kwenye Freemasonry wakati yeye mwenyewe ni choka mbaya anaishi BUGURUNI MALAPA, hana cha ufreemason wala nini!
LIKUD ni TAPELI.