TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Motives ziko tafauti
1. Wanaochukia ushoga
2. Wapenzi wake wa kike wanaohisi wametupwa
3. Wanaume wanaochukuliwa wanawake wao
4. Ugomvi wa maslahi
Polisi wanapaswa kufanya uchunguzi wa kweli kwa umakini
Umenikumbusha mtituwandei huko ukambani
 
Kuua si support kabisa Kila mtu anayo haki ya kuishi as long as havunji Sheria, Sasa Hawa sijui LGBT wanajiletea matatizo wenyewe si wafanye kimya kimya tu, wabongo wengi wenyewe vichaa na stress
Lakini Mimi niwe mkweli tu, hawa wanawake wanaosagana Mimi hawaniumizi kichwa kabisa, mikundu yao ipo salama kabisa.

Mwanamke hata awe msagaji na msagajwi watabaki kuwa wanawake tu na bado wakapelekewa moto na wanaume.

Shida yangu hivi mtoto wa kiume unaanzaje kubong'owa unatiwa dudu? Aisee hapo sipatagi jibu mpaka kesho.
 
Chanzo ni kama hiki.

Marko 5:2 Na alipokwisha kushuka chomboni, mara alikutana na mtu, ambaye ametoka makaburini, mwenye pepo mchafu;
3 makao yake yalikuwa pale makaburini; wala hakuna mtu ye yote aliyeweza kumfunga tena, hata kwa minyororo.
{Ukisha kaliwa na hawa madudu wachafu unakuwa abnormal kabisa hushauriki. Unaweza kuishi makabulini ukajisikia kama upo Las Vegas}
 

WAnaume wanaoingiliwa kiume wengi tu wako ndani hawajitangazi wala kuvaa nguo za kike ni watu na wake na watoto.....hao wanaojitangaza unawaona ni wachache tu na wengi afya ya akili haiko sawa
wengi wako ndani huko na huwenda ni commenters wazuri kupinga hili jambo.

Sikubaliani na tabia za kishetani lakini kumuua mtu sababu ikiwa ni hii si sawa kabisa si haki

Watu wanaiba nchini na wanatangazwa hadharani wanapeta tu mitaani leo uje umuue mtu anayetumia maliasili yake???

Na kibinaadamu sio busara kushangilia kifo cha mtu bila kujari alikua nani

INSTAGRAM @dollrubii_decors
 
[emoji28][emoji28]Sasa nyie mnainajisi nature ndio muombewe. Ila na wewe ka unafanya hyo kitu fanya kisiri kujitangaza utaenda kupimwa na tango hospitalini rafiki yangu ooooh[emoji28][emoji28]
Huyo Bichwa komwe mbona ni mke wa mtu?
 
Motives ziko tafauti
1. Wanaochukia ushoga
2. Wapenzi wake wa kike wanaohisi wametupwa
3. Wanaume wanaochukuliwa wanawake wao
4. Ugomvi wa maslahi
Polisi wanapaswa kufanya uchunguzi wa kweli kwa umakini
Watanzania wape headline tu.
Hapa wamejazana kwa sababu moja tu alikua msagaji wanajimaliza.

INSTAGRAM @dollrubii_decors
 
Shangazi lingine hilo, ana hasira na mimi kisa mwaka 2021 aliomba nimletee perfumes na Ada ya Mtoto wake, sikuweza kuonana nae maana sinaga interest na mishangazi tena iliyojikoboa na kubabuka kwa mikorogo ya bei chee, basi ameweka chuki hadi leo, imagine [emoji119]
 
Nasikia watu 2anne,wameshatiwa mbaroni, nadhani tuiachie Mhakama, itajulikana mbeleni hatima ya hao watu kama waliua kwa lengo lipi na adhabu yao ni ipi
 
Nasikia watu 2anne,wameshatiwa mbaroni,nadhani tuiachie Mhagama,itajulikana mbeleni hatima ya hao watu kama waliua kwa lengo lipi na adhabu yao ni ipi
Hata wakamatwe watu mia tayari mtu kupoteza maisha na hawezi kurudi tena. Familia imepoteza muhimili muhimu.
Nilichosema tunahitaji kuishi kulingana na mtazamo wa jamii inayotuzunguka.
Ndio maana Wazungu wanachapa kazi sana, wakati wa mapunziko wanakuja Afrika au Asia kutalii. Muda huo wanafanya fujo nyingi sana za hovyo hovyo, halafu wanarudi ktk shughuri zao wakiwa siriaz kabisa.

Tufanye mambo kwa kuzingatia mahali, wakati na ustaarabu wa jamii husika.
La sivyo tunaumia sisi wenyewe.
 
Imagine nyie mliooa kihalali hambusiana mubashara hadharani ila mashoga Sasa Wana force ili Hadi watoto wawaige hivi walifanya kimya kama watu wengine Hawa enjoy au ndio mapepo machafu wanayo maana ushoga upo tangu enzi za kale na walifanya kimya kimya Sasa hii trenda ya kujitangaza kinguvu sijui wameitoa wapi ndio maana wanaonekana ka wagonjwa wanaohitaji msaada Wala dhambi zao siwafanye kimya kimya ka wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…