Mtutuwandei
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 1,317
- 1,817
Motives ziko tafauti
1. Wanaochukia ushoga
2. Wapenzi wake wa kike wanaohisi wametupwa
3. Wanaume wanaochukuliwa wanawake wao
4. Ugomvi wa maslahi
Polisi wanapaswa kufanya uchunguzi wa kweli kwa umakini
1. Wanaochukia ushoga
2. Wapenzi wake wa kike wanaohisi wametupwa
3. Wanaume wanaochukuliwa wanawake wao
4. Ugomvi wa maslahi
Polisi wanapaswa kufanya uchunguzi wa kweli kwa umakini