dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Iko wp hio clip, unaweza weka link ya uzi?
Ila kwa Gay inawezekana?Kama kauawa kweli basi itakua ni ishu nyingine nje ya huo usagaji,, sioni ni namna gani mtu atachukua hatua za namna hiyo kwa lesbo,, kwa kipi hasa yani,, tena kwa Geita,, hapana
Huyu inasemekana kaiba wake za watu sana na kavunja ndoa nyingi. Vidume watano wakijipanga sishangai matokea na ukiangalia mji wenyewe ni GeitaKauliwa sababu ya Usagaji ama kauliwa kwa mambo mengine? Tupeni habari kamili tujue pa kuanzia,
Hii Serikali inaenda kuchafuka vibaya sana, zile safari za usiku na mchana na Mbwembwe zote za Royal Tour zitakua for nothing,
Culture Me
Picha yakeHuyo Milembe mnamchukia bure tu, Wanawake zenu ndio wanajipendekeza kwake kwanini asiwale na Pesa ipo bhana
Naisikitikia serikali yanguHuyu inasemekana kaiba wake za watu sana na kavunja ndoa nyingi. Vidume watano wakijipanga sishangai matokea na ukiangalia mji wenyewe ni Geita
Mungu anatukataza kufurahia kifo cha mtenda dhambiSijajua ila nilikuwa tulikuwa tunafanya Field huko GGM kipind fulan kuna demu alikuwa msagaji alikuwa Ana hela chafu nakumbuka aliniibia na demu wangu ndyo michezo yake ile kama amekufa nitafurah sana
Sawa ila mambo haya mwisho wake sio mzuri.Huyo Milembe mnamchukia bure tu, Wanawake zenu ndio wanajipendekeza kwake kwanini asiwale na Pesa ipo bhana
Wa Nyantorontoro 😂Milembe Suleiman au
Inaweza isiwe solution ya tatizo ila itapunguza tatizo!ni vigumu kuwazuia watu wazima walioamua kujitoa ufahamu na kujifungia mahali kutenda jambo lao ovu lakini ni rahisi kuwafanya waishi ktk utaratibu uliokuwa sahihi wakiwa hadharani.Wote ni yaleyale tu japo kuwaua sio solution
Bora ujikalie kimya tu rafiki yangu, walimwengu wana mengi [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijasema kitu
Kupitia hivyo vitabu vya dini je wewe huna laana?Nilijua Tu mtakuja,
Rejea vitabu vya dini wameainisha kila dhambi ambayo ukiitenda unalaaniwa automatically.
Inaweza isiwe solution ya tatizo ila itapunguza tatizo!
U know,zamani ushoga ulikuwepo usagaji ulikuwepo lakini waliokuwa wakiufanya na kufanyiwa walikuwa hawajionyeshi hadharani maana walijua walichokuwa wakikifanya siyo utamaduni wa mtu mweusi ni wachache sana walijionyesha hadharani,ninaposema wachache namaanisha ni wachache hasa maana kama mji wa Dar early 2000s shogaz waliokuwa wanajulikana nakumbuka ni wawili tu mmoja akiitwa Aunt Kessy (deceased) mwingine somebody Aunt Muu.
Leo mji mzima unanuka teknolojia ilivyoingia nayo imewafanya wawehuke so wakipotea kumi na ikajulikana wamepotea hata wale waliokuwa wanajiandaa kuonyesha ufirauni wao hadharani wataogopa itabaki kufanya kwa hamu zao tu tofauti na sasa wanafanya kwa hamu zao halafu wataka kuiaminisha jamii kwamba wanachokifanya ni kitu cha kawaida.
Sio Tomboy ni StudIt seems una ukaribu na huyo Tomboy [emoji2]
YES SIR!Wahusika wa tukio hili wasakwe na wakamatwe mara moja na wafikishwe kwenye vyombo vya dola stahili.