ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Milembe maana yake AmaniTatizo ni jina lake "Mirembe". Wazazi wengine sijui huwa Wana visa na watoto wao, inakuwaje mzazi unamuita mwanao majina ya hovyohovyo km huyo mwendazake huko Geita.
Kwa hiyo kafa na roho yake ya usagaji? Mungu anusuru kizazi hiki.Mungu tunusuru sisi na vizazi vyetu
Ukweli ni kwamba kukosa watoto ni huzuni na bila Mungu kusimama na sisi kuzaa watoto ni presha kubwa...
Haya mambo ya wasagaji yaskie TU
Usiombe mkeo/galfrend wako aingie mikononi mwa msagaji, achomoki[emoji1]
Kumbe zamani tuliheshimiana sana aiseeee....😊Wangewaacha tu ili tuendelee kupata show......niko live niko live!!!
Duh! ilikuwaje mkuu.........haya mambo yatakuwa yanaendeshwa na roho chafu nyuma yake. Yaani msagaji anakuwa na nguvu hadi kumnyang'anya demu mwanaume rijali?Mzee wangu nikijua mkewangu anasagwa na nikajiridhisha. Hiyo ndoa imekufa.
Nilipita na pisi moja ilikuwa inasagwa, aiseeehh hapo ndiyo nilijua wasagaji wana nguvu saana.
Tatizo anafany hadharani ndo shida inaanzia hvi angefanya ndan nyumbn kwake nani angembughuzi mashoga na wasagaji wanajisahau hapo tu starehe Yako wew sio lazima uwonyeshe wengine.Very good.
Yaliwahi kunikuta, hii kitu hua sipendi kabisa..😂 kuisimuliaMzee wangu nikijua mkewangu anasagwa na nikajiridhisha. Hiyo ndoa imekufa.
Nilipita na pisi moja ilikuwa inasagwa, aiseeehh hapo ndiyo nilijua wasagaji wana nguvu saana.
Kumbe zamani tuliheshimiana sana aiseeee....😊
Aiseee! kumbe haya majitu ni hatari namna hii.......kuna wanaharakati fulani kule twitter wanatetea haya mambo hadi kutaka kuichonganisha serikali na jumuia ya kimataifa.Yaliwahi kunikuta, hii kitu hua sipendi kabisa..😂 kuisimulia
Inawezekana mnatupoteza maboya sio kilichosababisha auawe.Wahusika msije mkawa mnafunika ili kuwapoteza wanaotafuta kwa nini auawe kikatili vile.Mimi nahisi kuna more than thatIlikuwa ni Mwaka Jana nikiwa mkoani Geita nilibahatika nasema ni kubahatika ingawa msomaji hautonielewa,maana wengi wetu tuna amini bahati ni kuona vizuri tu...
Kwa mara ya kwanza tunakubaliana misimamoLakini Mimi niwe mkweli tu, hawa wanawake wanaosagana Mimi hawaniumizi kichwa kabisa, mikundu yao ipo salama kabisa.
Mwanamke hata awe msagaji na msagajwi watabaki kuwa wanawake tu na bado wakapelekewa moto na wanaume.
Shida yangu hivi mtoto wa kiume unaanzaje kubong'owa unatiwa dudu? Aisee hapo sipatagi jibu mpaka kesho.
Ligi imeanza tena. Nakumbukaga siku ile napo ilikuwa hiviMuache aendelee hakuna hata moja ni la kweli naona anajisumbua kuaminisha watu uongo.
Ahsanteee.Polee sana Coca, wengi tunasikitika ila naona upande wako unasikitika zaidi pole sana
Uzuri watu wa 4 wamekamatwaa, tutajua mbivu na mbichi.Hata mi siamin kuhusu usagaji ni pesa madili ya tenda za mgodini tutajua tu
Hivi uchunguzi wa yule dada alichomwa moto huko kibahaUzuri watu wa 4 wamekamatwaa, tutajua mbivu na mbichi.