TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Duh! aisee kumbe hii misagaji ni hatari namna hii.......sema mambo ya kupiga mtungo yamepungua siku hizi, haya masagaji mnakamata mnapiga mtungo hata watu watano hadi hamu ya kusaga ipotee kabisa.
 
Hao wamejifanya wasagaji ili wapate makaratasi .Hao wanapigwa mihogo vizuri tu.
Siku hizi hakuna karatasi za bure.

Tatizo kubwa ni kwamba hao "sponsors" wao huwa wana pesa za kutupa kwenye mambo ya kijinga na pia kwenye mambo ya maana, yaani hucheza kotekote.

Yaani hukupa fedha za maendeleo na huku upande wa pili wawaharibu nguvukazi na kizazi chako cha kesho.
 
Suspects , ni wale Waliopokonywa wapenzi wao , kazini kwake au wanawake aliotoka nao hajawalipa pesa zao n.k
 
Kwa kweli mkuu,na me ngoja nihifadhi ujumbe huu kwenye vidole vya mikono yangu ya kuwa visithubutu kumjibu huyu Mtu ambae hata Shetani hatamani machafu hayo.Maana nimejikuta namjibu tu.

Sent from my V2204 using JamiiForums mobile app
 
Kupitia hivyo vitabu vya dini je wewe huna laana?
Hujawahi kuzini?
Hujawahi kusengenya?
Hujawahi kutamani mwanamke sio wako?
Huendi kwa waganga wewe?

Hebu tutolee chogo lako hapa
umeongea point lakini umeharibu kusema huendi kwa waganga wewe.
Uganga unaokatazwa ni ule wa ramli lakini ukienda kwa wa miti shamba sio dhambi maana asilimia 90 ya dawa za hospitali zinatenatengenezwa kwa miti shamba mfano Penicillin na Qunin.

Wamisionari waliwadanganya sana kumbe dawa za quinine au cinchona barks yaani magome ya mti wa m qunine walikuwa wanatumia wazungu huku Africa na hata dr David Livingstone ugonjwa ulioomuaa Zambia ni Malaria.

Sasa wakapeleka magome kwao waka extract wakatoa active ingridients ndio dawa ya quinine sasa. Walivyokuja huku wakawaambia uganga ni Ushetani.

Akili za kuambiwa changanya na zako dini tuzifuate lakini kwenye kuchuja tuchuje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…