Emoj
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 839
- 1,304
Kinachonishangaza Ni wanaokomet kwamba akishika mpenzi/mke wako hachomoki. Like how???. Hakuna namna mapenzi ya jinsia moja unaweza zidi mapenzi ya Me na Me Hakuna. Mungu Ni fundi .And God doesn't make mistakes. Asili Ni asili.hawa hawachomoki kwa vile ya pesa and not otherwise. Hata ushoga . people Wana exaggerate tu Mambo Ila inside their hearts wanaficha ukweli was Jambo. Ni pesa wanasaka.