TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Ata yule jamaa alimwagiwa tindikali Arusha alikuja na kudai kisa chake ni kwamba alikataa kumpumulia lishoga limoja huko kitaaa.
Yule mwanzoni alisema ugomvi kuhusu Mali, mara mwanamke, mwisho anasema eti ushoga khaaah.
 
Inaonekana alikuwa na doh, na wazungu wanavyopenda ayo mambo ndo maana hawakumfuta ata job ,ingekuwa kampuni ya wabongo angeona🔥🔥
 
Mtu mbeya utamjua tu,wewe ndie umeleta taarifa zote halafu unajidai eti mwenye taarifa atueleze, unataka tukueleze nini?
 
Sijajua ila nilikuwa tulikuwa tunafanya Field huko GGM kipind fulan kuna demu alikuwa msagaji alikuwa Ana hela chafu nakumbuka aliniibia na demu wangu ndyo michezo yake ile kama amekufa nitafurah sana
Mkuu hadi akwimbie demu yako inaoneka ulishindwa kumridhisha huyo demu wako, ni kama ulikosa mbinu za kivita.
 
Ana mtoto mkubwa mtu pia alikuwa anataka kuongeza mwingine kwa njia ya kawaida tu sasa wamemuua 🙆🏼‍♂️Hata kama hakustahili kuuawa
Njia ya kawaida ya kupata mimba au ya kuzaa?
Yeye kakuuliza njia ya kawaida yakupata mtoto kwa kujamiiana mwanamke na mwanaume. Je, yeye alipata mtoto kwa njia ipi? Alipandikiza mimba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…