TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

SAS unakuja kutuuliza ss wakat upo na mtu mwenye habri au unatka jf ijue una gari na unatoa lift
Wenye navyo wanasemaga basi😂😂😂waasaikolojia wakikuuliza swali ukaanza kuweka maneno mengi jua tu hizo zingine chai😂😂hii mitandao raha sana
 
Tatizo ni jina lake "Mirembe". Wazazi wengine sijui huwa Wana visa na watoto wao, inakuwaje mzazi unamuita mwanao majina ya hovyohovyo km huyo mwendazake huko Geita.
Huwezi jua lina maana gani, ume search neno **** KWA japan lina maana gani? Kaangalie mkuu utashangaa na hii ya kwetu. Huenda lina maana nzuri KWA wao
 
Kiukweli sijasoma gazeti lako, umeuliza swali zuri tu na mimi nimekurudishia swali kama hilo sababu wakati mwingine, swali na swali hupatikana jibu,
Sasa badala ya kujibu swali umeamua kushusha gazeti la Nipashe, unajisumbua,

Ulitaka kujua nitajisikiaje nikiwa na Mtoto Msagaji nikakuuliza na wewe utajisikiaje mtoto wa kike akiwa anakunjwa ghetto na msela?
Umeogopa kusoma hiyo paragraph fupi sababu unaogopa kuface uhalisia wako mwenyewe.
You're fu*king scared, a coward.
 
H
Hebu fikiria mtu kidudu chake mwenyewe unaanza kumuua hizi nazo ni roho za kishetani!Kuna faida gani kuuchukia ushoga na usagaji na kuupenda uuaji?
Mnaandika pumba kinyama nyie wanawake. Subiri upate mtoto ujue uchungu wake alafu utakuja kufuta hizo nonsense.
 
Umeogopa kusoma hiyo paragraph fupi sababu unaogopa kuface uhalisia wako mwenyewe.
You're fu*king scared, a coward.
Aogope kipi wewe fukara uliyepoteza siha kwa kujaza chuki kwa watu waliokuzidi Maisha,
Unadhani uki attack watu kwenye mitandao ndio utapona maumivu yako ya ufukara!?

Pitia maisha magumu peke yako usilazimishe na wengine wapitie unayopitia wewe fukara uliyekosa afya na akili
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] anatafuta pa kufia
 
Aogope kipi wewe fukara uliyepoteza siha kwa kujaza chuki kwa watu waliokuzidi Maisha,
Unadhani uki attack watu kwenye mitandao ndio utapona maumivu yako ya ufukara!?

Pitia maisha magumu peke yako usilazimishe na wengine wapitie unayopitia wewe fukara uliyekosa afya na akili
Bitch... I have nothing to prove to you.
Wewe mwanamke unahitaji mwanaume akufundishe aliyoshindwa kukufundisha baba yako na mama yako.

GROW THE FUK UP. and don't quote me again.
 
L
Mnaandika pumba kinyama nyie wanawake. Subiri upate mtoto ujue uchungu wake alafu utakuja kufuta hizo nonsense.
Nipate watoto Mara ngapi Sasa?unadhani mama aliyemzaa huyo marehemu alipopata taarifa mwanaume kachinjwa kakatwa na viganja alijisikiaje?unajua tumbo la uchungu wewe?Acheni kutoa roho za binadamu wenzenu wanyama nyinyi!wafundisheni watoto wenu kuenenda kwenye njia sahihi na sio kutoa roho za watu
 
Mungu tunusuru sisi na vizazi vyetu

Ukweli ni kwamba kukosa watoto ni huzuni na bila Mungu kusimama na sisi kuzaa watoto ni presha kubwa.
Viatu vya wazazi waliozaa na watoto wakaingia kwenye haya mambo havitoshi. Mungu atupe imani

Hivi baada ya kumu-engage yule binti 2017 na kukatwa na polisi aliendelea na ndoa au aliendelea kusagana!?

Kama kauwawa kweli familia yake na familia za aliokuwa anawasaga wanajua walichofanya.

Aliyevalishwa pete kama anajilazimisha
 
L
Nipate watoto Mara ngapi Sasa?unadhani mama aliyemzaa huyo marehemu alipopata taarifa mwanaume kachinjwa kakatwa na viganja alijisikiaje?unajua tumbo la uchungu wewe?Acheni kutoa roho za binadamu wenzenu wanyama nyinyi!wafundisheni watoto wwenu kuenenda kwenye njia sahihi na sio kutoka roho za watu
Nisikilize mimi wewe mwanamke.
Kitendo cha mtoto kuangukia huko tayari ni kifo kwa mzazi mwenye akili na hakuna marehemu anayekufa mara mbili.

Hatuwezi kufundisha watoto maadili kama wakitoka nje wanakutana na mbwa wanaoharibu kama hawa, kufundisha itakuwa kazi bure bila kusafisha nje.
 
Back
Top Bottom