Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitakiwa kujitangaza ili atimize masharti ya wadhamini wake yaani mashirika ya Ushoga.Ivi alikuwa ana haja kweli ya kujitangaza kuwa yeye ni LGBTQ? Si angekuwa anafanya zinaa zake kimya kimya tu
Sijasema wewe ni mwanaume nimesema mumemuua maana ameweza kuwa tuliza wanawake zenu Kwa vidole vyake na duidu feki na pesa za kumtosha unampa manzi elfu kumi inaumudu Nini?Punguza hasira nani kamkata mapanga? Mimi ni mwanamke napinga kabisa usagaji na ushoga. Hatutaki kizazi kijacho kikute mizizi ya ushoga na usagaji...
🤗🤗🤗🤗🤗🤗💖Punguza hasira nani kamkata mapanga? Mimi ni mwanamke napinga kabisa usagaji na ushoga. Hatutaki kizazi kijacho kikute mizizi ya ushoga na usagaji...
Mke wa mtu ni sumu.Basi watu hao ndio waliojazana kwenye huu uzi wanabweka na kutukana, hawajui wanajifukuzia Baraka, wanawalaumu Wapenzi wa jinsia moja kwenye magumu yao ya Maisha, wanawalazimisha wajione ...
Kumbe alikua wamoto hivyo!Sanamu la milembe iwekwe pale Dodoma katikati ya barabara za kwenda mikoani maana kasaidia wamama wengi kuwapa mitaji , kuwajengea nyumba na kuwapa magari, na wanaume wakikupa hivyoo anakuganda milembe hakugandi bhana
Dream Queen Yes alikua mwema zaidi ya hayo yanayozumzwa kasomesha watoto wengi sana mayatima,kawapa pesa vijana,wababa na wamama wajasiliamali wadogo wadogo kujikwamua kiuchumi, kawapa nyumba za kuishi moja kwa moja sio kuwakodisha, kalisha wengi wenye njaa kwa ufupi Marahemu Mirembe kafanya mengi mazuri na makubwa ata ukienda mtaa aliokua akiishi kwa wanaomjua majirani wote wana huzuni nzito kumpoteza MilembeKumbe alikua wamoto hivyo!
Alale pema peponi, atakumbukwa kwa mazuri aliyoyatenda, na nimeona kila Mtu anamsifia kwa roho nzuri na kusaidia watu hadi majirani zake,
Maa shaa Allah, kweli vizuri havidumu
Dream Queen Yes alikua mwema zaidi ya hayo yanayozumzwa kasomesha watoto wengi sana mayatima,kawapa pesa vijana,wababa na wamama wajasiliamali wadogo wadogo kujikwamua kiuchumi,kawapa nyumba za kuishi moja kwa moja sio kuwakodisha, kalisha wengi wenye njaa kwa ufupi Marahemu Mirembe kafanya mengi mazuri na makubwa ata ukienda mtaa aliokua akiishi kwa wanaomjua majirani wote wana huzuni nzito kumpoteza Milembe
Alikua very kind and supportive kwa jamii MWENYEZI MUNGU amsamehe madhambi yake na amlipe Pepo 🙏
Ooh Maskini kumbe aligusa kundi kubwa lililosahaulika kwenye jamii yetu, wanaomchukia aibu iwe juu yao ametenda makubwa kwa umri wake,Dream Queen Yes alikua mwema zaidi ya hayo yanayozumzwa kasomesha watoto wengi sana mayatima,kawapa pesa vijana...
Makubwa kuwasaga kwa Bei sawa na bure , umasikini unawasumbua Hadi mnauza utu wenu wapumbavu nyieTutolee ufukara wako huko,
Umepandwa na kichaa ulivyoona ametenda makubwa ambayo ukoo wako wote haujawahi kuufanya,
Hilooooooooo aibu yako
Umeona usagaji wake tu wakati umeambiwa kasaidia kundi kubwa la jamii, wewe na ufukara wako umesaidia nini zaidi kutuchafulia oksijeni tu,Makubwa kuwasaga kwa Bei sawa na bure , umasikini unawasumbua Hadi mnauza utu wenu wapumbavu nyie
Huyo mjinga Milembe she was an idiot pro max
Dream QueenOoh Maskini kumbe aligusa kundi kubwa lililosahaulika kwenye jamii yetu, wanaomchukia aibu iwe juu yao ametenda makubwa kwa umri wake,
Yupo kwenye Dua zangu na nitamtolea sadaka, in shaa Allah.
❤️🙏🙏🙏Huyu dada anaweza kuwa mwema kuliko Mimi.
Hata kama mim sio msagaji ila ana mema mengi
Pole sana kwa msiba mkubwa .Nikisema niorodheshe mema ya Milembe nadhani nitashusha gazeti la Nipashe na bado nisimalize
Itoshe kusema Pumzika kwa amani Mpambanaji wa Wajane..Yatima..Maskini..Waishio maisha magumu..Walemavu..Waliokata tamaa n.k
Tutaendelea kuenzi maisha yako Daima ❤️🙏🙏🙏
Nikisema niorodheshe mema ya Milembe nadhani nitashusha gazeti la Nipashe na bado nisimalize
Itoshe kusema Pumzika kwa amani Mpambanaji wa Wajane..Yatima..Maskini..Waishio maisha magumu..Walemavu..Waliokata tamaa n.k
Tutaendelea kuenzi maisha yako Daima [emoji3590][emoji120][emoji120][emoji120]