TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

SAS unakuja kutuuliza ss wakat upo na mtu mwenye habri au unatka jf ijue una gari na unatoa lift
Wenye navyo wanasemaga basi😂😂😂waasaikolojia wakikuuliza swali ukaanza kuweka maneno mengi jua tu hizo zingine chai😂😂hii mitandao raha sana
 
Tatizo ni jina lake "Mirembe". Wazazi wengine sijui huwa Wana visa na watoto wao, inakuwaje mzazi unamuita mwanao majina ya hovyohovyo km huyo mwendazake huko Geita.
Huwezi jua lina maana gani, ume search neno **** KWA japan lina maana gani? Kaangalie mkuu utashangaa na hii ya kwetu. Huenda lina maana nzuri KWA wao
 
Umeogopa kusoma hiyo paragraph fupi sababu unaogopa kuface uhalisia wako mwenyewe.
You're fu*king scared, a coward.
 
H
Hebu fikiria mtu kidudu chake mwenyewe unaanza kumuua hizi nazo ni roho za kishetani!Kuna faida gani kuuchukia ushoga na usagaji na kuupenda uuaji?
Mnaandika pumba kinyama nyie wanawake. Subiri upate mtoto ujue uchungu wake alafu utakuja kufuta hizo nonsense.
 
Umeogopa kusoma hiyo paragraph fupi sababu unaogopa kuface uhalisia wako mwenyewe.
You're fu*king scared, a coward.
Aogope kipi wewe fukara uliyepoteza siha kwa kujaza chuki kwa watu waliokuzidi Maisha,
Unadhani uki attack watu kwenye mitandao ndio utapona maumivu yako ya ufukara!?

Pitia maisha magumu peke yako usilazimishe na wengine wapitie unayopitia wewe fukara uliyekosa afya na akili
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] anatafuta pa kufia
 
Bitch... I have nothing to prove to you.
Wewe mwanamke unahitaji mwanaume akufundishe aliyoshindwa kukufundisha baba yako na mama yako.

GROW THE FUK UP. and don't quote me again.
 
L
Mnaandika pumba kinyama nyie wanawake. Subiri upate mtoto ujue uchungu wake alafu utakuja kufuta hizo nonsense.
Nipate watoto Mara ngapi Sasa?unadhani mama aliyemzaa huyo marehemu alipopata taarifa mwanaume kachinjwa kakatwa na viganja alijisikiaje?unajua tumbo la uchungu wewe?Acheni kutoa roho za binadamu wenzenu wanyama nyinyi!wafundisheni watoto wenu kuenenda kwenye njia sahihi na sio kutoa roho za watu
 
Aliyevalishwa pete kama anajilazimisha
 
Nisikilize mimi wewe mwanamke.
Kitendo cha mtoto kuangukia huko tayari ni kifo kwa mzazi mwenye akili na hakuna marehemu anayekufa mara mbili.

Hatuwezi kufundisha watoto maadili kama wakitoka nje wanakutana na mbwa wanaoharibu kama hawa, kufundisha itakuwa kazi bure bila kusafisha nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…