Suchack
JF-Expert Member
- May 11, 2020
- 2,290
- 4,623
Pole sana kwa kuondokewa na mumeo,ndo tayari tumemuua nenda kamfukueNikisema niorodheshe mema ya Milembe nadhani nitashusha gazeti la Nipashe na bado nisimalize
Itoshe kusema Pumzika kwa amani Mpambanaji wa Wajane..Yatima..Maskini..Waishio maisha magumu..Walemavu..Waliokata tamaa n.k
Tutaendelea kuenzi maisha yako Daima ❤️🙏🙏🙏