TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

HUU UZI HITIMISHO NI HIVI

KUTOA UHAI WA MTU KISA NI SHOGA AU MSAGAJI SIYO SAWA KABISA
NAO NI WANADAM KAMA WANADAMU WENGINE
HAYA MAMBO YALIKUWEPO ENZI NA ENZI
KUHUSU KIFO CHA MILEMBE INAWEZEKANA IKAWA NA SABABU
NYINGI TU KAMA VIFO VINGINE
INAWEZA IKAWA MAMBO YA KAZI,WIVU WA MAPENZI NK

KWA SISI/MM BAHARIA WA ZAMANI
NIONE SHOGA,MSAGAJI NK
HUWA HATUNA HABARI NAO WALA KUYAINGILIA BIASHARA ZAO
AS LONG WAO WAWE WANAFANYA MAMBO YAO KIVYAO, SEHEMU ZAO
MAANA NDIYO MAMBO WALIYOJICHAGULIA NA WAMEZALIWA HIVYO

ova
Mkuu baharia mwenzangu wa zamani naona umeamua kuwaambia hivi vitoto vya JF, haya mambo yalikuwepo toka enzi na enzi na kila mwana alishika yake na maisha yake. Kutoa uhai wa mtu kwa sababu ya ushoga au usagaji hizo ni tabia za ujima. Watu wa kale wa Daslama yetu tuna kumbukumbu ya mkurugenzi wa uhamiaji alioa mwanaume mwenzake na watu walikula kimyaa. Pia wana Daslama tunamkumbuka mwanadada Asia Darwesh aliekuwa akipiga kinanda bendi za dansi aliekua akiwasaga wadada wa mujini na wana daslama walipiga kimyaa.
Yote kwa yote, kumuua mtu kwa ajili hio sio sawa kabisa maana mhukumu wa yote ni Allah sio Bin adam.
 
Yeeeesss
 
Aliyewaumba ndiyo ameamuru kuuwawa. Sema nchi zetu zina Sheria za kijinga za kidemokrasia na kunyamazia uovu kama huu.

Lakini kwa uhalisia wasagaji na wanao sagwa, mashoga na wanao waingilia mashoga haki yao ni kuuwawa. Laiti mngejua athari mbaya wanayo acha watu hawa msinge wakingia vifua.

Kwanza wanakosoa uumbaji na wanaharibu asili. Huwezi mwanadamu kufanya mambo kuzidi mnyama ambaye hana akili.

Kuna tajiri kumshinda Mola muumba ?

Uovu kadhalika una tabia ya kuondosha mema unayo yafanya, na uovu hufunika mema uliyo yafanya.

Humu mlio wengi mnajadili jambo zito kama hili kwa hisia na si kwa maslahi na utu.
Wengi wanaotetea usagaji na ushoga ni mashoga na wasagaji.
Ukiona mtu anatoa povu kuhusu ushoga au usagaji jua huyo anajihusisha kwa namna moja au nyingine.

Si jambo jema katika jamii zetu kuwa na mambo mabaya kama ushoga na usagaji na zaidi ya yote kujaribu kuyakingia kifua.
Usagaji ni ugongwa kama magonjwa mengine na ushoga pia ni tatizo vile vile.

Hakuna cha maisha mazuri wala mabaya katika hili.Huwezi kutafuta maisha mazuri katika kusagwa au kuwa shoga,huo ni ungojwa wa akili.

Taifa la vijana mashoga na wasagaji si taifa hilo.
Kuua mtu kisa kawa shoga au msagaji si vyema ila pia si vyema kuwa na watu wanao jinasibu kuwa wasagaji na mashoga katika jamii.
 
HUU UZI HITIMISHO NI HIVI

KUTOA UHAI WA MTU KISA NI SHOGA AU MSAGAJI SIYO SAWA KABISA
NAO NI WANADAM KAMA WANADAMU WENGINE
HAYA MAMBO YALIKUWEPO ENZI NA ENZI
KUHUSU KIFO CHA MILEMBE INAWEZEKANA IKAWA NA SABABU
NYINGI TU KAMA VIFO VINGINE
INAWEZA IKAWA MAMBO YA KAZI,WIVU WA MAPENZI NK

KWA SISI/MM BAHARIA WA ZAMANI
NIONE SHOGA,MSAGAJI NK
HUWA HATUNA HABARI NAO WALA KUYAINGILIA BIASHARA ZAO
AS LONG WAO WAWE WANAFANYA MAMBO YAO KIVYAO, SEHEMU ZAO
MAANA NDIYO MAMBO WALIYOJICHAGULIA NA WAMEZALIWA HIVYO

ova
Umemaliza kila kitu, hata sie tuliambiwa na Wakubwa zetu hao watu walikuwepo tangu enzi hizo na hakuna Mtu aliyekua na time nao, zamani watu walijali kutafuta pesa ndio maana tunaona wazee wetu wamewekeza ila sasa hivi vijana hawatafuti pesa wao kazi yao ni kutupa lawama tu, mwanzo ilikua lawama kwa serikali na sasa imekua lawama kwa mashoga na wasagaji,

Vijana wa hovyo na washamba ndio wanaotuchafulia taifa letu hili, ila hatutaacha kuwasuta na kuwazodoa, siku kila mmoja akiangalia maisha yake ndio siku hii Nchi itatulia angalau.
 
Mkuu baharia mwenzangu wa zamani naona umeamua kuwaambia hivi vitoto vya JF, haya mambo yalikuwepo toka enzi na enzi na kila mwana alishika yake na maisha yake. Kutoa uhai wa mtu kwa sababu ya ushoga au usagaji hizo ni tabia za ujima. Watu wa kale wa Daslama yetu tuna kumbukumbu ya mkurugenzi wa uhamiaji alioa mwanaume mwenzake na watu walikula kimyaa. Pia wana Daslama tunamkumbuka mwanadada Asia Darwesh aliekuwa akipiga kinanda bendi za dansi aliekua akiwasaga wadada wa mujini na wana daslama walipiga kimyaa.
Yote kwa yote, kumuua mtu kwa ajili hio sio sawa kabisa maana mhukumu wa yote ni Allah sio Bin adam.
Mimi niliambiwa miaka ya 70 kulikuwako na Mtu alijiita Pili katika Mji wa Kigoma, alikua anavaa mavazi ya kike, aliweka manyonyo ya bandia watu wote walimjua kua hakua Mwanamke ila hakuna aliyehangaishwa nae, alijifanyia shughuli zake za kujiingizia kipato na alifanikiwa pakubwa,

Ila sasa hawa vijana washamba waliofeli maisha ndio wanaweka makasiriko katika mambo ambayo hayawahusu, yaani kijana yupo radhi akope pesa kwa ajili ya kufatilia fulani analala na nani kwa style gani wakati huo katandika godoro chini na kisabufa cha mchina pembeni.
 
Aliyewaumba ndiyo ameamuru kuuwawa. Sema nchi zetu zina Sheria za kijinga za kidemokrasia na kunyamazia uovu kama huu.

Lakini kwa uhalisia wasagaji na wanao sagwa, mashoga na wanao waingilia mashoga haki yao ni kuuwawa. Laiti mngejua athari mbaya wanayo acha watu hawa msinge wakingia vifua.

Kwanza wanakosoa uumbaji na wanaharibu asili. Huwezi mwanadamu kufanya mambo kuzidi mnyama ambaye hana akili.

Kuna tajiri kumshinda Mola muumba ?

Uovu kadhalika una tabia ya kuondosha mema unayo yafanya, na uovu hufunika mema uliyo yafanya.

Humu mlio wengi mnajadili jambo zito kama hili kwa hisia na si kwa maslahi na utu.
Tupe maneno kwenye Qur'an yanayosapoti huo upuuzi uliouandika, wewe debe tupu ndio unajikutaga unaishi Saudia kwa kushika vi aya viwili vitatu unasahau kua upo Tandale kwa Mtogole jioni unaenda kukopa miguu ya kuku kwa Juma Makame ulumagie na Ugali wa Sembe ushushie na maji ya kandoro,

Badala ya kufix utapiamlo wako unajitia msafi sana wa kuhukumu, hii ni Tanzania hatupo Maka wala Madina hao wauaji wenzio wangekua wanajiweza wangejitokeza hadharani halafu uone watakavyoshughulikiwa ipasavyo zaidi ya wale wa Kibiti,

Unajifanya unafata sheria za Allah halafu mkiua mnajificha kwenye mapori, waambie wajitokeze sasa
 
Wengi wanaopinga ushoga ni mashoga. Hasa mabasha.

Kuna IDs kama nne nimezibaini zipo hapa zinajifanya kupinga ushoga lakini ni mashoga na nina ushahidi.

Kupitia ujasusi wangu, nimefanikiwa kuwagundua, na wakileta fyoko ntawaanika hadharani. Nina nyaraka kabisa, vielelezo na screenshots [emoji16]

Jamiiforums itazimika. [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Fungua ubongo wako utaona hoja yangu..mema yake lazima tuyazungumze acha kumshambulia mtoa hoja shambulia hoja Kijana..wewe unae roga ndugu zako wasifanikiwe huoni unatenda SHIRKI sio dhambi hiyo?

Be positive na usichukue kiatu cha MUUMBA kuhukumu
Naona sagaji limekasilika kuondokewa na saga Kenzie😀
 
Huna lolote, mwenzako alikuwa na pesa chafu anakula mbususu kiulaini, sio kama wewe masikini unayeshindia mihogo na chachandu.

Ameacha mijumba na magari ambayo watoto wake watafaidi, wewe una nini zaidi ya kibamia chenye ukurutu na chanuo la jero [emoji16][emoji16][emoji16]

Hao watoto wako wa kusingiziwa watarithi chanuo la jero? [emoji16][emoji16][emoji16]
Shoga lingine Hili hapa

Msagaji mwenzio sasa hivi ni chakula cha funza ardhini
 
Ukiitwa utolee maelezo hilo neno "tayari tumemuua" unaanza kujiharishia, nasema nyie mafukara mngetengewa sehemu yenu tuwe tunakuja kuwatizama kama maonesho na mafundisho kwa watoto wetu waukatae ufukara.
Wewe muuza ubuyu unapata wapi guts za kuita mwenzie fukara
 
HUU UZI HITIMISHO NI HIVI

KUTOA UHAI WA MTU KISA NI SHOGA AU MSAGAJI SIYO SAWA KABISA
NAO NI WANADAM KAMA WANADAMU WENGINE
HAYA MAMBO YALIKUWEPO ENZI NA ENZI
KUHUSU KIFO CHA MILEMBE INAWEZEKANA IKAWA NA SABABU
NYINGI TU KAMA VIFO VINGINE
INAWEZA IKAWA MAMBO YA KAZI,WIVU WA MAPENZI NK

KWA SISI/MM BAHARIA WA ZAMANI
NIONE SHOGA,MSAGAJI NK
HUWA HATUNA HABARI NAO WALA KUYAINGILIA BIASHARA ZAO
AS LONG WAO WAWE WANAFANYA MAMBO YAO KIVYAO, SEHEMU ZAO
MAANA NDIYO MAMBO WALIYOJICHAGULIA NA WAMEZALIWA HIVYO

ova
Wewe nae wale wale
 
Back
Top Bottom