DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
Hilooooo SUKUMA GANG linalamba mchanga na kujamba [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nina ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilooooo SUKUMA GANG linalamba mchanga na kujamba [emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nina ndoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2957]Tusipowapa ukweli nyie mafukara mtatupanda vichwani na wote tuonekane level moja,
Kengele weee
Mkuu baharia mwenzangu wa zamani naona umeamua kuwaambia hivi vitoto vya JF, haya mambo yalikuwepo toka enzi na enzi na kila mwana alishika yake na maisha yake. Kutoa uhai wa mtu kwa sababu ya ushoga au usagaji hizo ni tabia za ujima. Watu wa kale wa Daslama yetu tuna kumbukumbu ya mkurugenzi wa uhamiaji alioa mwanaume mwenzake na watu walikula kimyaa. Pia wana Daslama tunamkumbuka mwanadada Asia Darwesh aliekuwa akipiga kinanda bendi za dansi aliekua akiwasaga wadada wa mujini na wana daslama walipiga kimyaa.HUU UZI HITIMISHO NI HIVI
KUTOA UHAI WA MTU KISA NI SHOGA AU MSAGAJI SIYO SAWA KABISA
NAO NI WANADAM KAMA WANADAMU WENGINE
HAYA MAMBO YALIKUWEPO ENZI NA ENZI
KUHUSU KIFO CHA MILEMBE INAWEZEKANA IKAWA NA SABABU
NYINGI TU KAMA VIFO VINGINE
INAWEZA IKAWA MAMBO YA KAZI,WIVU WA MAPENZI NK
KWA SISI/MM BAHARIA WA ZAMANI
NIONE SHOGA,MSAGAJI NK
HUWA HATUNA HABARI NAO WALA KUYAINGILIA BIASHARA ZAO
AS LONG WAO WAWE WANAFANYA MAMBO YAO KIVYAO, SEHEMU ZAO
MAANA NDIYO MAMBO WALIYOJICHAGULIA NA WAMEZALIWA HIVYO
ova
YeeeesssMkuu baharia mwenzangu wa zamani naona umeamua kuwaambia hivi vitoto vya JF, haya mambo yalikuwepo toka enzi na enzi na kila mwana alishika yake na maisha yake. Kutoa uhai wa mtu kwa sababu ya ushoga au usagaji hizo ni tabia za ujima. Watu wa kale wa Daslama yetu tuna kumbukumbu ya mkurugenzi wa uhamiaji alioa mwanaume mwenzake na watu walikula kimyaa. Pia wana Daslama tunamkumbuka mwanadada Asia Darwesh aliekuwa akipiga kinanda bendi za dansi aliekua akiwasaga wadada wa mujini na wana daslama walipiga kimyaa.
Yote kwa yote, kumuua mtu kwa ajili hio sio sawa kabisa maana mhukumu wa yote ni Allah sio Bin adam.
Wengi wanaotetea usagaji na ushoga ni mashoga na wasagaji.Aliyewaumba ndiyo ameamuru kuuwawa. Sema nchi zetu zina Sheria za kijinga za kidemokrasia na kunyamazia uovu kama huu.
Lakini kwa uhalisia wasagaji na wanao sagwa, mashoga na wanao waingilia mashoga haki yao ni kuuwawa. Laiti mngejua athari mbaya wanayo acha watu hawa msinge wakingia vifua.
Kwanza wanakosoa uumbaji na wanaharibu asili. Huwezi mwanadamu kufanya mambo kuzidi mnyama ambaye hana akili.
Kuna tajiri kumshinda Mola muumba ?
Uovu kadhalika una tabia ya kuondosha mema unayo yafanya, na uovu hufunika mema uliyo yafanya.
Humu mlio wengi mnajadili jambo zito kama hili kwa hisia na si kwa maslahi na utu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Pole sana kwa kuondokewa na mumeo,ndo tayari tumemuua nenda kamfukue
Umemaliza kila kitu, hata sie tuliambiwa na Wakubwa zetu hao watu walikuwepo tangu enzi hizo na hakuna Mtu aliyekua na time nao, zamani watu walijali kutafuta pesa ndio maana tunaona wazee wetu wamewekeza ila sasa hivi vijana hawatafuti pesa wao kazi yao ni kutupa lawama tu, mwanzo ilikua lawama kwa serikali na sasa imekua lawama kwa mashoga na wasagaji,HUU UZI HITIMISHO NI HIVI
KUTOA UHAI WA MTU KISA NI SHOGA AU MSAGAJI SIYO SAWA KABISA
NAO NI WANADAM KAMA WANADAMU WENGINE
HAYA MAMBO YALIKUWEPO ENZI NA ENZI
KUHUSU KIFO CHA MILEMBE INAWEZEKANA IKAWA NA SABABU
NYINGI TU KAMA VIFO VINGINE
INAWEZA IKAWA MAMBO YA KAZI,WIVU WA MAPENZI NK
KWA SISI/MM BAHARIA WA ZAMANI
NIONE SHOGA,MSAGAJI NK
HUWA HATUNA HABARI NAO WALA KUYAINGILIA BIASHARA ZAO
AS LONG WAO WAWE WANAFANYA MAMBO YAO KIVYAO, SEHEMU ZAO
MAANA NDIYO MAMBO WALIYOJICHAGULIA NA WAMEZALIWA HIVYO
ova
Fighting for her (hisi) LIGHTs....
Mimi niliambiwa miaka ya 70 kulikuwako na Mtu alijiita Pili katika Mji wa Kigoma, alikua anavaa mavazi ya kike, aliweka manyonyo ya bandia watu wote walimjua kua hakua Mwanamke ila hakuna aliyehangaishwa nae, alijifanyia shughuli zake za kujiingizia kipato na alifanikiwa pakubwa,Mkuu baharia mwenzangu wa zamani naona umeamua kuwaambia hivi vitoto vya JF, haya mambo yalikuwepo toka enzi na enzi na kila mwana alishika yake na maisha yake. Kutoa uhai wa mtu kwa sababu ya ushoga au usagaji hizo ni tabia za ujima. Watu wa kale wa Daslama yetu tuna kumbukumbu ya mkurugenzi wa uhamiaji alioa mwanaume mwenzake na watu walikula kimyaa. Pia wana Daslama tunamkumbuka mwanadada Asia Darwesh aliekuwa akipiga kinanda bendi za dansi aliekua akiwasaga wadada wa mujini na wana daslama walipiga kimyaa.
Yote kwa yote, kumuua mtu kwa ajili hio sio sawa kabisa maana mhukumu wa yote ni Allah sio Bin adam.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Naona machoko wamevamia uzi
Tupe maneno kwenye Qur'an yanayosapoti huo upuuzi uliouandika, wewe debe tupu ndio unajikutaga unaishi Saudia kwa kushika vi aya viwili vitatu unasahau kua upo Tandale kwa Mtogole jioni unaenda kukopa miguu ya kuku kwa Juma Makame ulumagie na Ugali wa Sembe ushushie na maji ya kandoro,Aliyewaumba ndiyo ameamuru kuuwawa. Sema nchi zetu zina Sheria za kijinga za kidemokrasia na kunyamazia uovu kama huu.
Lakini kwa uhalisia wasagaji na wanao sagwa, mashoga na wanao waingilia mashoga haki yao ni kuuwawa. Laiti mngejua athari mbaya wanayo acha watu hawa msinge wakingia vifua.
Kwanza wanakosoa uumbaji na wanaharibu asili. Huwezi mwanadamu kufanya mambo kuzidi mnyama ambaye hana akili.
Kuna tajiri kumshinda Mola muumba ?
Uovu kadhalika una tabia ya kuondosha mema unayo yafanya, na uovu hufunika mema uliyo yafanya.
Humu mlio wengi mnajadili jambo zito kama hili kwa hisia na si kwa maslahi na utu.
Wengi wanaopinga ushoga ni mashoga. Hasa mabasha.Tupe maneno kwenye Qur'an yanayosapoti huo upuuzi uliouandika, wewe debe tupu ndio unajikutaga unaishi Saudia kwa kushika vi aya viwili vitatu unasahau kua upo Tandale kwa Mtogole jioni unaenda kukopa miguu ya kuku kwa Juma Makame ulumagie na Ugali wa Sembe ushushie na maji ya kandoro,
Badala ya kufix utapiamlo wako unajitia msafi sana wa kuhukumu, hii ni Tanzania hatupo Maka wala Madina hao wauaji wenzio wangekua wanajiweza wangejitokeza hadharani halafu uone watakavyoshughulikiwa ipasavyo zaidi ya wale wa Kibiti,
Unajifanya unafata sheria za Allah halafu mkiua mnajificha kwenye mapori, waambie wajitokeze sasa
Naona sagaji limekasilika kuondokewa na saga Kenzie😀Fungua ubongo wako utaona hoja yangu..mema yake lazima tuyazungumze acha kumshambulia mtoa hoja shambulia hoja Kijana..wewe unae roga ndugu zako wasifanikiwe huoni unatenda SHIRKI sio dhambi hiyo?
Be positive na usichukue kiatu cha MUUMBA kuhukumu
Shoga lingine Hili hapaHuna lolote, mwenzako alikuwa na pesa chafu anakula mbususu kiulaini, sio kama wewe masikini unayeshindia mihogo na chachandu.
Ameacha mijumba na magari ambayo watoto wake watafaidi, wewe una nini zaidi ya kibamia chenye ukurutu na chanuo la jero [emoji16][emoji16][emoji16]
Hao watoto wako wa kusingiziwa watarithi chanuo la jero? [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe muuza ubuyu unapata wapi guts za kuita mwenzie fukaraUkiitwa utolee maelezo hilo neno "tayari tumemuua" unaanza kujiharishia, nasema nyie mafukara mngetengewa sehemu yenu tuwe tunakuja kuwatizama kama maonesho na mafundisho kwa watoto wetu waukatae ufukara.
Wewe nae wale waleHUU UZI HITIMISHO NI HIVI
KUTOA UHAI WA MTU KISA NI SHOGA AU MSAGAJI SIYO SAWA KABISA
NAO NI WANADAM KAMA WANADAMU WENGINE
HAYA MAMBO YALIKUWEPO ENZI NA ENZI
KUHUSU KIFO CHA MILEMBE INAWEZEKANA IKAWA NA SABABU
NYINGI TU KAMA VIFO VINGINE
INAWEZA IKAWA MAMBO YA KAZI,WIVU WA MAPENZI NK
KWA SISI/MM BAHARIA WA ZAMANI
NIONE SHOGA,MSAGAJI NK
HUWA HATUNA HABARI NAO WALA KUYAINGILIA BIASHARA ZAO
AS LONG WAO WAWE WANAFANYA MAMBO YAO KIVYAO, SEHEMU ZAO
MAANA NDIYO MAMBO WALIYOJICHAGULIA NA WAMEZALIWA HIVYO
ova
Nenda you tube utakuta mikanda yake ya X ananyonyana ndimi na wanawake wake na kutiana madoleKajitangaza wapi?
Muuza ubuyu sio fukara hujui kama Bakharesa anauza Chapati na Maandazi!?Wewe muuza ubuyu unapata wapi guts za kuita mwenzie fukara