TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

Nipo hapa kwenye foleni mwanza nimempa lift mwanamke mmoja sasa nasikia anaongelea hayo mauaji kwenye simu. Na siwezi kumuuliza.

Ila kwa anavyoongea inaonekana huyo mwanamke alikua anatongoza wanawake wenzie na anajulikana hadharani. Na inasemekana kauliwa na kukatwa mkono.

Wenye taarifa kamili tujulisheni.

Nawasilisha.

======

UPDATE;

POLISI YATHIBITISHA KUTOKEA KWA MAUAJI


Akizungumzia kuhusu taarifa hizo, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, ACP Berthaneema Mlay amesema “Ni kweli tukio hilo limetokea, marehemu ametambulika kwa jina la Milembe Suleiman alikuwa mfanyakazi wa GGM, kitengo cha Ugavi amekutwa ameuawa katika eneo ambalo anajenga nyumba zake.

Eneo ambapo tukio limetokea linaitwa Mwatulole ambazo zilikuwa katika hatua ya ujenzi, mpaka sasa wameshikiliwa watu wanne na uchunguzi unaendelea.”

Alipotakiwa kuelezea kuhusu uchunguzi wa awali wa tuko hilo amesema “Yaani hatujabaini chochote mpaka sasa, ndio maana uchunguzi unaendelea.”

Pia soma
--
View attachment 2600221
Milembe Suleiman enzi za uhai wake​
Huu uzi ndo ulifanya Daudi Mchambuzi apigwe ban na kususia jamvi baada ya kudai afisa ugavi alikuwa bwana ya mdogo wake wa kike wakudadavua
 
Screenshot_20240827_191205_Instagram.jpg
 
Sasa yule mwanamke alishiriki mauaji kwa nini?
Huyo manzi alikuwa ni manzi wa dead 1,aligundua basha ake ana mkwanja ndani so akaside na hao wajomba jomba sema ndio likabumbuluka.
Mchongo mzima ni huyo manzi na tamaa za mkwanja wa basha ake.
 
Washakula kitanzi huko...
Mihemko ishaisha Sasa ni mwendo wa majuto tu.
Nimefurahi sana haki kutendeka!! Unaua MTU bila sababu ya msingi!? Nani aliwapa jukumu la kuhukumu!? Maskini dada wa watu, huenda aliacha watoto yatima
 
Huyo manzi alikuwa ni manzi wa dead 1,aligundua basha ake ana mkwanja ndani so akaside na hao wajomba jomba sema ndio likabumbuluka.
Mchongo mzima ni huyo manzi na tamaa za mkwanja wa basha ake.
Dhuluma siku zote ni mauti, Watu hawakujifunza Kwa Yuda na Hela ya usaliti
 
If its true and so it has began........

Vipi una maoni gani
 
Sijajua ila nilikuwa tulikuwa tunafanya Field huko GGM kipind fulan kuna demu alikuwa msagaji alikuwa Ana hela chafu nakumbuka aliniibia na demu wangu ndyo michezo yake ile kama amekufa nitafurah sana
Vipi na hukumu umefurahia?
 
Vipi una maoni gani
Nilishasema kabla huyu hayajamkuta na nikasema yalivyomkuta kwamba kilichoanza kufanyika kilikuwa ni hatari kwa mustakabli wa Taifa kwahio naendelea kusema kama nilivyosema....
 
Back
Top Bottom