BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Unajiharibia baraka zako. Utapata tabu sana mpaka utaomba poo.Sheria ndio kuwauwa tu
USSR
Hiyo ni sheria ya asili. Haidanganyi.
Ndio maana nyie wafuasi wa SUKUMA GANG mmedhibitiwa na watoto wa mjini kwa sababu ya ushamba na karmic pay back.
Magufuli alikuwa Rais mzuri, lakini nyie wafuasi wa sukuma gang ndio tatizo. Pokeeni kichapo kutoka msoga.