Afisa Utumishi Igunga avamiwa, ajeruhiwa kwa panga shingoni

Wadau hamjamboni nyote?

HR wa Igunga amevamiwa na kukatwa mapanga.

Taarifa zaidi kutolewa na Mamlaka husika.

Tuungane sote Kwa pamoja kumuombea apate unafuu.

Kutokana na unyeti mkubwa wa kazi yake tunaomba Mamlaka husika ziendeshe uchunguzi mapema.

Your browser is not able to display this video.
 
Pole Sana HR Upone Haraka Urejee Kazini.

Tujitahidi Kutenda Haki Tunapopewa Nafasi Yoyote
 
Pale ambapo watu wanalaani tukio,lakini aliyefanyiwa tukio hasemi alicho kifanya hadi kupelekea watu kutaka kumuua.
Hamna mwendawazimu anaweza Stoke tu huko atafute kukuua kama hujamkosea kitu.
 
Tukiwa maofisini tujifunze kutenda na kusimamia haki.
tuache kutembea na wake za watu au mademu wa wenzetu na kuleta jeuri.
Tujiepushe na dhulma kwenye madili tunayofanya na wenzetu.

Wabongo wameamua kumalizana wenyewe kwa wenyewe sasa, tuwe makini kidogo.
 
Wewe ulistahili ulichokipata.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…