raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Kuna watu ni waajabu sanaMimi jamaa walini time...wakaniwekea maudambwi kwenye kiti...nilikuaga mtumishi mzuri sana....nikajikuta naichukia Kazi...kisha nikasepa.....nikafukuzwa na Kazi. Akili zikaja baada ya 7 years....nikaanza kushangaa how I left the job.
Dah huko ma halmashauri sio poa kabisa!!!
So huyo wa Igunga...huenda ikawa ni wivu, chuki, fitina,
Au mapenzi?
Note:- kwangu ilikua ni kuhudumia watu bure bila kupokea 10% , jamaa wa Idarani wakaanza kumind.
Na pia, nilikua napiga Kazi kwà Bidii sana mpaka weekends....wakuu wa IDARA zote wakawa wananipenda sana mpaka Mkurugenzi. Nikapewa na kiusafiri cha pikipiki...., , Jealous zikazidi. Nikapigwa bonge la juju....daah sio poa yani.
Hii yote mtu anafanya sababu ya kazi ambayo sio hata ya baba wala ya mama yake duh kweli tumeumbwa tofauti