DOKEZO Afisa utumishi, PSSF wachezea mfumo na kumstaafisha mtumishi kabla ya muda, alilipwa Milioni 72, akapokea Milioni 2 tu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mimi uncle wangu aliyekuwa Afisa Mwandamizi EAC walimtengenezea cheti feki cha kifo na wakakomba mafao yake na pensheni zote 100%.
a models kama za akina Makonda zisiishe nchi hii, zitakuja na kutoweka na kurudi tena na kutoweka tena na kurudi...
Matukio kama haya ndiyo yanayozalisha madikteta kwenye nchi.

Akipatikana rais dikteta na muuaji na ikatokea amewadhibiti majambazi kama hawa lazima ataungwa mkono na mamia ya wananchi bila kujali madhara ya udikteta wake.
 
Wazee wanakopa ovyo wakiwa na miaka 50!!

Baadhi ya taasisi kama platinum, Bayport nk zinakukopesha hata kama umebakiza wiki kustaafu.

Ukustaaf wanakumbania upate mtonyo wako fasta ili wapite nayo chapu, kama songesha tu.
 
Hivi kwanini tusiwe na sheria kali ili watu kama hawa wapelekwe uwanja wa mpira wapigwe risasi hadharani mbele za watu AU tuwapige kwa mawe hadi wafe kwa mateso makali na Mola atupe msaada wa wakuwatupa JEHENAM
 
Matukio kama haya ndiyo yanayozalisha madikteta kwenye nchi.

Akipatikana rais dikteta na muuaji na ikatokea amewadhibiti majambazi kama hawa lazima ataungwa mkono na mamia ya wananchi bila kujali madhara ya udikteta wake.
Mkuu nipeni hii inchi mimi japo kwa mwezi mmoja tu, nitanyonga haya mashetani kiasi kwamba hatainuka tena shetani mwingine ndani ya miaka 50!
 
Mimi uncle wangu aliyekuwa Afisa Mwandamizi EAC walimtengenezea cheti feki cha kifo na wakakomba mafao yake na pensheni zote 100%.

Siku alipozuka kuzichukuwa mwaka 2012 baada ya Mahakama ya Tz kuamuru walipwe, wale staffs wa huduma kwa mteja baada ya kuangalia kwenye mfumo wa tarakilishi (computer) wakapiga ukunga/yowe/nduru kuwaita staffs wenzao eti wamezukiwa na mzimu.

Walipofika staffs hao na kuuliza mzimu upi, wakamwonyesha huyo hapo (yaani uncle wangu).

Uncle alipouliza ni kwa vipi wamnyanyapae kiwango hicho kwa kumuita mzimu wakati amekuja kudai haki zake?

Wakasema mfumo unaonyesha wewe ni marehemu tangu mwaka 1985 na kivuli cha cheti cha kifo hiki hapa kwenye tarakilishi na mafao uliishachukuwa ushahidi huu hapa na mwenzi wako alichukuwa nusu pensheni hadi 1986.

Wale staffs walioitwa kushuhudia mzimu wakayeyuka, uncle puuuuu.... chini, pepewa pepewa pale na walinzi, fahamu ziliporudi akaacha laana ya karne (kama serikali inalaanika sijui!?) na kuondoka hapo Hazina Makao Makuu hadi leo yuko hai Kijijini kama EL kule Peninsular; na akasusa kabisa kurudi Hazina.

Aina hii ya watumishi ndiyo wamejaa serikalini na ndiyo watafanya models kama za akina Makonda zisiishe nchi hii, zitakuja na kutoweka na kurudi tena na kutoweka tena na kurudi...
Aisee pole zake sana mzee wetu.! Hii nchi imejaa watu wenye laana sana kila kona ni uozo wizi tu.! Hamna hata mwenye nafuu
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Ofisa Utumishi mmoja ambaye alihudumu katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu kwa kushirikiana na Afisa kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii PSSF wanaida kuchezea mfumo na kusataafisha watumishi wa serikali kabla ya muda.

Licha ya Maafisa hao kitendo hicho, mtumishi huyo alilipwa Milioni 72 kama mafao yake baada ya kustaafishwa, jambo la kinyama na la kuumiza zaidi ulifanywa mchezo na taasisi moja ya kifedha iliyokuwa inamdai mtumishi huyo ambapo alikatwa kiasi Cha Sh. Milioni 70, na kumbakizia kiasi cha Sh. Milioni 2.

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda leo kwenye kikao cha Baraza maalumu la Madiwani Halmashauri ya Mji wa Bariadi la kujadili hoja za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG), ndiye ameeleza jambo hilo.

Dkt. Yahaya Nawanda amesema kuwa kitendo hicho ni cha kinyama, ambapo ameagiza Maafisa hao kutafutwa popote walipo hata kama wamehamishwa na amehaidi kupambana nalo hadi hatua kali zichukuliwe dhidi yao.

Amesema kuwa Maafisa hao walikuwa wanachezea mfumo wa utumishi, ambapo mtumishi anashtukia anapigiwa simu kuwa anastaafu jambo ambalo siyo kweli, lengo likiwa ni kutaka kujipatia fedha kwa njia haramu.

“Huyu Afisa utumishi na afisa wa PSSF baada ya kufanikiwa kumstaafisha, huyu mtumishi kuna kampuni moja ya kifedha ilikuwa inamdai, wakala njama, akaingiziwa penshioni yake Milioni 72, walichomfanyia ni kitu cha kinyama, wakamtaka Milioni 70 akabaki na Milioni mbili tu” amesema Nawanda….

“ Nimeagiza uchunguzi uanze mara moja, tunakwenda kuunda tume tuchunguze jambo hili, lakini huyu Afisa Utumishi na Afisa wa PSSF watafutwe popote walipo waje hapa watueleze kwani nini walifanya jambo hili,” ameeleza Nawanda.

Chanzo. simiyublog.

View attachment 2665711

Wakati mwingine unaona aibu kuwa M Tanzania.
 
Mimi uncle wangu aliyekuwa Afisa Mwandamizi EAC walimtengenezea cheti feki cha kifo na wakakomba mafao yake na pensheni zote 100%.

Siku alipozuka kuzichukuwa mwaka 2012 baada ya Mahakama ya Tz kuamuru walipwe, wale staffs wa huduma kwa mteja baada ya kuangalia kwenye mfumo wa tarakilishi (computer) wakapiga ukunga/yowe/nduru kuwaita staffs wenzao eti wamezukiwa na mzimu.

Walipofika staffs hao na kuuliza mzimu upi, wakamwonyesha huyo hapo (yaani uncle wangu).

Uncle alipouliza ni kwa vipi wamnyanyapae kiwango hicho kwa kumuita mzimu wakati amekuja kudai haki zake?

Wakasema mfumo unaonyesha wewe ni marehemu tangu mwaka 1985 na kivuli cha cheti cha kifo hiki hapa kwenye tarakilishi na mafao uliishachukuwa ushahidi huu hapa na mwenzi wako alichukuwa nusu pensheni hadi 1986.

Wale staffs walioitwa kushuhudia mzimu wakayeyuka, uncle puuuuu.... chini, pepewa pepewa pale na walinzi, fahamu ziliporudi akaacha laana ya karne (kama serikali inalaanika sijui!?) na kuondoka hapo Hazina Makao Makuu hadi leo yuko hai Kijijini kama EL kule Peninsular; na akasusa kabisa kurudi Hazina.

Aina hii ya watumishi ndiyo wamejaa serikalini na ndiyo watafanya models kama za akina Makonda zisiishe nchi hii, zitakuja na kutoweka na kurudi tena na kutoweka tena na kurudi...
Kama hakuchukua afungue kesi adai mahakamani.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
kuna watu ni wa kuwachinja. ningewawinda na kuwachinja kama kuku hao mbuzi
 
Kama hakuchukua afungue kesi adai mahakamani.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Lissu mwenyewe anaiogopa Mahakama ya Tz atakuwa uncle wangu!?

Mimi nimeshinda kesi moja hivi ya kazi hadi Mahakama Kuu lakini huu ni mwaka wa 12 baada ya hukumu sijapewa haki yangu.

Nimefuatilia hivi karibuni naambiwa umri wa shauri umepevuka hivyo faili ni mfu. Kwishney.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Ofisa Utumishi mmoja ambaye alihudumu katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu kwa kushirikiana na Afisa kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii PSSF wanaida kuchezea mfumo na kusataafisha watumishi wa serikali kabla ya muda.

Licha ya Maafisa hao kitendo hicho, mtumishi huyo alilipwa Milioni 72 kama mafao yake baada ya kustaafishwa, jambo la kinyama na la kuumiza zaidi ulifanywa mchezo na taasisi moja ya kifedha iliyokuwa inamdai mtumishi huyo ambapo alikatwa kiasi Cha Sh. Milioni 70, na kumbakizia kiasi cha Sh. Milioni 2.

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahaya Nawanda leo kwenye kikao cha Baraza maalumu la Madiwani Halmashauri ya Mji wa Bariadi la kujadili hoja za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG), ndiye ameeleza jambo hilo.

Dkt. Yahaya Nawanda amesema kuwa kitendo hicho ni cha kinyama, ambapo ameagiza Maafisa hao kutafutwa popote walipo hata kama wamehamishwa na amehaidi kupambana nalo hadi hatua kali zichukuliwe dhidi yao.

Amesema kuwa Maafisa hao walikuwa wanachezea mfumo wa utumishi, ambapo mtumishi anashtukia anapigiwa simu kuwa anastaafu jambo ambalo siyo kweli, lengo likiwa ni kutaka kujipatia fedha kwa njia haramu.

“Huyu Afisa utumishi na afisa wa PSSF baada ya kufanikiwa kumstaafisha, huyu mtumishi kuna kampuni moja ya kifedha ilikuwa inamdai, wakala njama, akaingiziwa penshioni yake Milioni 72, walichomfanyia ni kitu cha kinyama, wakamtaka Milioni 70 akabaki na Milioni mbili tu” amesema Nawanda….

“ Nimeagiza uchunguzi uanze mara moja, tunakwenda kuunda tume tuchunguze jambo hili, lakini huyu Afisa Utumishi na Afisa wa PSSF watafutwe popote walipo waje hapa watueleze kwani nini walifanya jambo hili,” ameeleza Nawanda.

Chanzo. simiyublog.

View attachment 2665711
Noma sana !
 
Sijaelewa, navyofahamu mm mpaka ulipwe kuna alot of documentations, sasa huyo afisa alipataje hizo ocuments.
 
Nadhani kuna haja ya watanzania kuweza kujiongeza hasa kwenye taarifa hizi
Sijaelewa kitu kimoja
PSSSF wamelipa 72m
Imeingia kwenye account ya mwanachama
(Hapa ndo ilikuwa mwisho wa psssf)
Sasa bank amekatwa 70m lawama zinaenda psssf kivipi
Clarify!
 
Back
Top Bottom