Houthi ni waasi tu kule Yemen, vibaraka wa Iran, hawana Serikali, sio rahisi kupigana na Yemen yote kwa sababu ya Houthi.Siku US akisema aipige Yemen full scale war nadhani hiyo vita haitazidi siku 90 kabla ya Houth kuomba POO.
Nenda zako huko mwambie aingize boots zake huko uone uliona wapi vita inapiganiwa juu 😄Siku US akisema aipige Yemen full scale war nadhani hiyo vita haitazidi siku 90 kabla ya Houth kuomba POO.
Wewe ulituaminisha IDF hawawezi kuingia Gaza[emoji23][emoji23]Nenda zako huko mwambie aingize boots zake huko uone uliona wapi vita inapiganiwa juu [emoji1]
Watatandikwa viboko hadi na watoto kama kule somaliaSiku US akisema aipige Yemen full scale war nadhani hiyo vita haitazidi siku 90 kabla ya Houth kuomba POO.
Nenda zako huko mwambie aingize boots zake huko uone uliona wapi vita inapiganiwa juu [emoji1]
Sawa mchambuzi wa masuala ya vita vya kimataifa kutoka Ifakara.Siku US akisema aipige Yemen full scale war nadhani hiyo vita haitazidi siku 90 kabla ya Houth kuomba POO.
Somalia? Una umri gani? Hujui Somalia mpaka US alikimbia? Hujui kichapo alichokipata kule Somalia?Watatandikwa viboko hadi na watoto kama kule somalia
US alienda peke yake Iraq? Unajua ni mataifa mangapi yalipigana na Iraq? Unajua ni mataifa mangapi yalishiriki kuipiga Libya?Ulituaminisha Saddam Hussein na Muamar Gaddaf wana majeshi bora kabsa.
Lakini US alimaliza mchezo mapema mno.
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
Wameshinda au?Wewe ulituaminisha IDF hawawezi kuingia Gaza[emoji23][emoji23]
Sawa mchambuzi wa masuala ya vita vya kimataifa kutoka Ifakara.
Tatizo Mleta mada ni ElimuHata mimi nashangaa
Rubbish.Wadanganyika hua mnahisi US Navy ni kama M23 au JWTZ[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app