HAKUNAMATATA
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 996
- 2,267
Wakati vita inaanza kule Iraq March 06 2023 Us alipeleka wanajeshi 150,000 na Washirika wake kwa umoja wao walipeleka wanajeshi 23,000 (Idadi kubwa ilitolewa na UK na Idadi ndogo zaidi ilitolewa na Australia)
Kwa mantiki hiyo huwezi kusema US anategemea washirika ili kupigana vita, ila ukweli ni kwamba anatafuta washirika ila kuzifanya vita zake kua ni maamuzi ya mataifa mengi makubwa na sio US peke yake.
Nikukumbushe pia kwamba kwa wakati ule Saddam alisifika kwa kua na jeshi zuri lenye uzalendo na nidhamu ya hali ya juu ila vita ilianza March 20 2003 na siku 20 baadae mji mkuu wao wa Baghdad tayari ulikua umetekwa na baadae December 13 2003 Saddam Hussein alikamatwa.
Kuhusu libya nadhani unajua airfoce ilitosha kumaliza military installations zao zooote.
Ni kweli kabsa hatuwapendi hawa US ila ni kweli pia kwamba hawa jamaa kwenye sector ya vita wako mbali mno.
Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app

US alienda peke yake Iraq? Unajua ni mataifa mangapi yalipigana na Iraq? Unajua ni mataifa mangapi yalishiriki kuipiga Libya?
Mbona mnapenda sana kujitoa akili nyinyi wamarekani weusi wa Itigi?