Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hakukuwa na athari kwa kambi ya anga ya Marekani ya Al Udeid nchini Qatar, Reuters iliripoti ikimnukuu afisa wa kijeshi wa Marekani.
Afisa huyo alinukuliwa akisema hakuna shambulio la Iran lililogunduliwa katika kambi yoyote ya kijeshi ya Marekani isipokuwa Qatar.
Soma Pia: Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq
Mifumo ya ulinzi wa anga iliwashwa katika kambi ya anga ya Marekani ya Ain al-Asad nchini Iraq kwa hofu ya kutokea mashambulizi, iliongeza ripoti hiyo ikinukuu vyanzo vya kijeshi.