Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkapa alipoitwa kisutu kutoa ushahidi kesi ya mahalu, alienda na gari ya serikali au ya binafsi?Hiyo kesi ni ya serikali?
Au wewe ndiye unashtakiana naye nini umeona ngoma imekuzidia unatafuta namna ya kumfukuza asisogee mahakamani 😀😀😀😀Ninasikitika sana!!
Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau?
Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana.
Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa mahakama kuu baada ya kununua mali haramu kupitia madalali na sasa anatumia kodi
za watanzania kuhudhuria kesi binafsi.
Ninaishauri serikali idhibiti matumizi ya kodi za wananchi kwa kuzuia matumizi mabaya ya kiofisi.
Ninashauri waziri makamba mpe uhamisho kijana huyo arudi wizarani ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Huwa anatokea Botswana anatokea zambia na kuingia mpakani eneo la Tunduma..
Picha za gari hilo nitaziweka hapa.
this is the reason nilisema tusikie na upande wa pili wa wanaojua hili, kwasababu tayari huyo jamaa ameshasemekana yupo kwenye mgogoro na watu ambao inawezekana ni maadui zakeMagari binafsi ya maafisa ubalozi pia yanapewa diplomatic no ili watambulike kirahisi na kutopewa usumbufu, hivyo uwezekano mkubwa ni gari yake binafsi. Huwezi endesha gari ya serikali kutoka Botswana hadi Tz kwa ajili ya inshu binafsi.
Hii ni NO, huwezi mtu binafsi upewe diplomatic number plate, tuelewe hii number plate in ya Botswana (ingawa binafsi siamini, hatuna ubalozi Botswana, ubalozi upo SA, au mtoa hoja umeona GP number plate?)Magari binafsi ya maafisa ubalozi pia yanapewa diplomatic no ili watambulike kirahisi na kutopewa usumbufu, hivyo uwezekano mkubwa ni gari yake binafsi. Huwezi endesha gari ya serikali kutoka Botswana hadi Tz kwa ajili ya inshu binafsi.
unaona sasa, si ukute ametembelea gari yenye chasis no au namba yeyote gelesha, yeye kasema namba ya ubalozi. nimeangalia mtandaoni, hakuna ubalozi wa Tanzania nchini Botswana.Hii ni NO, huwezi mtu binafsi upewe diplomatic number plate, tuelewe hii number plate in ya Botswana (ingawa binafsi siamini, hatuna ubalozi Botswana, ubalozi upo SA, au mtoa hoja umeona GP number plate?)
Nami pia nimeangalia hili ndio maana nikamuuliza mtoa hoja atufafanulie, Afisa wetu wa ubalozi labda amekuja na GP au BW number plate, mkuu akafikiria ni diplomatic car, unaweza kupewa diplomatic passport na SIO diplomatic number plate(binafsi)unaona sasa, si ukute ametembelea gari yenye chasis no au namba yeyote gelesha, yeye kasema namba ya ubalozi. nimeangalia mtandaoni, hakuna ubalozi wa Tanzania nchini Botswana.
Diplomatic number plate hutolewa kwa magari yote ya Ubalozi wa nchi husika. Si lazima awe anatumia balozi, bali magari yote yanayotumika kwa shughuli za kibalozi. Lakini, halipaswi kuwa la mtu binafsi.Nami pia nimeangalia hili ndio maana nikamuuliza mtoa hoja atufafanulie, Afisa wetu wa ubalozi labda amekuja na GP au BW number plate, mkuu akafikiria ni diplomatic car, unaweza kupewa diplomatic passport na SIO diplomatic number plate(binafsi)
Hata Baadhi ya UN agencies zinapewa hiyo..Magari binafsi ya maafisa ubalozi pia yanapewa diplomatic no ili watambulike kirahisi na kutopewa usumbufu, hivyo uwezekano mkubwa ni gari yake binafsi. Huwezi endesha gari ya serikali kutoka Botswana hadi Tz kwa ajili ya inshu binafsi.
Nkanini kama ulikuwa hujui, ndio nimekujuza, maafisa balozi kwenye magari yao binafsi hasa nchi rafiki kwa Tz wanapewa diplomatic no ili wasisumbuliwe, na kwa kuwa ni nchi za karibu kwao kuendesha hadi Tz, wanarudi nayo Tz na wanafanya nayo mishe binafsi zote na inaruhusiwa kisheria.Hii ni NO, huwezi mtu binafsi upewe diplomatic number plate, tuelewe hii number plate in ya Botswana (ingawa binafsi siamini, hatuna ubalozi Botswana, ubalozi upo SA, au mtoa hoja umeona GP number plate?)
Hapo Zaidi ZaidiAisee!hivi ni Kweli umeandika kizalendo au ndio vile?
Aisee!hivi ni Kweli umeandika kizalendo au ndio vile?
Maana nchi ngumu hii🤣Umewaza km mimi
Kabisa usikute ndugu Afisa ubalozi anapambna na mjomba ake hukoMaana nchi ngumu hii🤣
Hapana! Hayo ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Hata hivyo inaonekana mangi huyo ni mshamba, unaendeshaje gari umbali mrefu huo na ndege ulaya zote hizi?inawezekana aliomba ruhusa, na balozi alimruhusu aje nalo. na kama ameruhusiwa kuja nalo hadi hapa, sioni kama ni shida kuliendesha. kwani kosa lake liko wapi sasa hapo? kwani ukikabidhiwa gari na serikali hutakiwi kuliendesha?
🤣🤣🤣Hapa anakuja kueleza kama ana uchungu na Mali ya nchiKabisa usikute ndugu Afisa ubalozi anapambna na mjomba ake huko
Botswana ni Ulaya??😁😁😁Hapana! Hayo ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Hata hivyo inaonekana mangi huyo ni mshamba, unaendeshaje gari umbali mrefu huo na ndege ulaya zote hizi?
Weka hizo pichaNinasikitika sana!!
Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau?
Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana.
Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa mahakama kuu baada ya kununua mali haramu kupitia madalali na sasa anatumia kodi
za watanzania kuhudhuria kesi binafsi.
Ninaishauri serikali idhibiti matumizi ya kodi za wananchi kwa kuzuia matumizi mabaya ya kiofisi.
Ninashauri waziri makamba mpe uhamisho kijana huyo arudi wizarani ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Huwa anatokea Botswana anatokea zambia na kuingia mpakani eneo la Tunduma..
Picha za gari hilo nitaziweka hapa.
Acha kumsagia mwenzako kunguni.... yeye pia ni binadamu... sasa shida ni kutumia gari la ubalozi au?? Kwani gari kazi yake si kusafiriaNinasikitika sana!!