Afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Botswana anaonekana mitaani na mahakamani mkoani Kilimanjaro akizurura na gari la Ubalozi!

Ninasikitika sana!!
Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau?

Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana.

Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa mahakama kuu baada ya kununua mali haramu kupitia madalali na sasa anatumia kodi
za watanzania kuhudhuria kesi binafsi.

Ninaishauri serikali idhibiti matumizi ya kodi za wananchi kwa kuzuia matumizi mabaya ya kiofisi.

Ninashauri waziri makamba mpe uhamisho kijana huyo arudi wizarani ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi za wananchi.

Huwa anatokea Botswana anatokea zambia na kuingia mpakani eneo la Tunduma..

Picha za gari hilo nitaziweka hapa.
Makamba yupi ampe uhamisho.? Huyu huyu ajulikanaye? Hawezi
 
Ok
 
We umejuaje? Si kila gari lenye namba za ubalozi ni la serikali hata watumishi binafsi hupewa hizo namba! Punguzeni chuki waja
Sidhani hata hivyo, kama huwa kuna ubalozi wa Tanzania nchini Botswana ( l stand to be corrected)..labda kama umea
Mkuu mtoa hoja,pls weka nyama kwenye mada yako hii muhimu, je Tanzania tuna ofisi ya ubalozi pale Gabbs?,sio tunawakilishwa na Balozi wetu pale Umoja House, Arcadia??ninakusikiliza mkuu ufafanue hapa
 
Ninasikitika sana!!
Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau?

Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana.

Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa mahakama kuu baada ya kununua mali haramu kupitia madalali na sasa anatumia kodi
za watanzania kuhudhuria kesi binafsi.

Ninaishauri serikali idhibiti matumizi ya kodi za wananchi kwa kuzuia matumizi mabaya ya kiofisi.

Ninashauri waziri makamba mpe uhamisho kijana huyo arudi wizarani ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi za wananchi.

Huwa anatokea Botswana anatokea zambia na kuingia mpakani eneo la Tunduma..

Picha za gari hilo nitaziweka hapa.
Kuna mawili....kama sio wivu ni fitnah
 
Anatumia gari la serikali ya Tanzania lililopo ubalozi wetu nchini Botswana kuja nalo Tanzania kuxurura nalo na kuhudhuria mahakamani , kesi binafsi!!
Una chuki nae??🙂manake ina kuuma weee as if hiyo serikali ni ya maana sana.
 
Hivi gari mpya na ya kisasa kabisa ya Comrade Masud Kipanyer iliishia wapi?
 
Back
Top Bottom