Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji7]Magari binafsi ya maafisa ubalozi pia yanapewa diplomatic no ili watambulike kirahisi na kutopewa usumbufu, hivyo uwezekano mkubwa ni gari yake binafsi. Huwezi endesha gari ya serikali kutoka Botswana hadi Tz kwa ajili ya inshu binafsi.
Makamba yupi ampe uhamisho.? Huyu huyu ajulikanaye? HaweziNinasikitika sana!!
Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau?
Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana.
Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa mahakama kuu baada ya kununua mali haramu kupitia madalali na sasa anatumia kodi
za watanzania kuhudhuria kesi binafsi.
Ninaishauri serikali idhibiti matumizi ya kodi za wananchi kwa kuzuia matumizi mabaya ya kiofisi.
Ninashauri waziri makamba mpe uhamisho kijana huyo arudi wizarani ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Huwa anatokea Botswana anatokea zambia na kuingia mpakani eneo la Tunduma..
Picha za gari hilo nitaziweka hapa.
Ndege Ulaya=Ndege zilizotengenezwa na watu weupe.Yaani hizo Qatar Airways, British airways n.kBotswana ni Ulaya??😁😁😁
Botswana ni Ulaya??😁😁😁
OkNinasikitika sana!!
Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau?
Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana.
Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa mahakama kuu baada ya kununua mali haramu kupitia madalali na sasa anatumia kodi
za watanzania kuhudhuria kesi binafsi.
Ninaishauri serikali idhibiti matumizi ya kodi za wananchi kwa kuzuia matumizi mabaya ya kiofisi.
Ninashauri waziri makamba mpe uhamisho kijana huyo arudi wizarani ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Huwa anatokea Botswana anatokea zambia na kuingia mpakani eneo la Tunduma..
Picha za gari hilo nitaziweka hapa.
Uyatima mbaya sana ndugu yangu, nahisi umeelewaAisee!hivi ni Kweli umeandika kizalendo au ndio vile?
Yatima hadekiUyatima mbaya sana ndugu yangu, nahisi umeelewa
OkayNdege Ulaya=Ndege zilizotengenezwa na watu weupe.Yaani hizo Qatar Airways, British airways n.k
Ndio kabaki kulialia sasa 🤣🤣🤣🤣Yatima hadeki
Alisahau kulia kupokezana🤣Ndio kabaki kulialia sasa 🤣🤣🤣🤣
Subiri na kuna kundi lingine litalia soon kama nawe una moyo wa makuti kama wa mtoto wa mbagala anza kuzoea🤣🤣🤣🤣Alisahau kulia kupokezana🤣
Hahahahaha bangiBotswana ni Ulaya??[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahaha Ulaya tena duhHapana! Hayo ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Hata hivyo inaonekana mangi huyo ni mshamba, unaendeshaje gari umbali mrefu huo na ndege ulaya zote hizi?
Sidhani hata hivyo, kama huwa kuna ubalozi wa Tanzania nchini Botswana ( l stand to be corrected)..labda kama umeaWe umejuaje? Si kila gari lenye namba za ubalozi ni la serikali hata watumishi binafsi hupewa hizo namba! Punguzeni chuki waja
Mkuu mtoa hoja,pls weka nyama kwenye mada yako hii muhimu, je Tanzania tuna ofisi ya ubalozi pale Gabbs?,sio tunawakilishwa na Balozi wetu pale Umoja House, Arcadia??ninakusikiliza mkuu ufafanue hapa
Kuna mawili....kama sio wivu ni fitnahNinasikitika sana!!
Serikali imejisahau au ni watumishi wa umma wamejisahau?
Kuna mtumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Botwana anaonekana kila mwezi akizurura na gari lenye namba za ubalozu wetu nchini Botswana.
Sababu za kimsingi kuwa na gari hilo mkoani kilimanjaro ni kuhudhuria mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa mahakama kuu baada ya kununua mali haramu kupitia madalali na sasa anatumia kodi
za watanzania kuhudhuria kesi binafsi.
Ninaishauri serikali idhibiti matumizi ya kodi za wananchi kwa kuzuia matumizi mabaya ya kiofisi.
Ninashauri waziri makamba mpe uhamisho kijana huyo arudi wizarani ili kupunguza matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
Huwa anatokea Botswana anatokea zambia na kuingia mpakani eneo la Tunduma..
Picha za gari hilo nitaziweka hapa.
Una chuki nae??🙂manake ina kuuma weee as if hiyo serikali ni ya maana sana.Anatumia gari la serikali ya Tanzania lililopo ubalozi wetu nchini Botswana kuja nalo Tanzania kuxurura nalo na kuhudhuria mahakamani , kesi binafsi!!
Mwache huyo,hajui pia kua kuna Ndege za Africa 'Ndege Ungo"Ndege Ulaya=Ndege zilizotengenezwa na watu weupe.Yaani hizo Qatar Airways, British airways n.k
Mfumo ovuYani muhuni ampe adhabu muhuni mwenzie