Afisa ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Kenya (ODPP) imeidhinisha mashtaka ya Mauaji ya mwanablogu Ojwang dhidi ya watuhumiwa 6

Afisa ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Kenya (ODPP) imeidhinisha mashtaka ya Mauaji ya mwanablogu Ojwang dhidi ya watuhumiwa 6

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Afisa ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma nchini Kenya (ODPP) imeidhinisha mashtaka ya mauaji dhidi ya watu 6 wakiwemo maafisa wa polisi 3 wakiongozwa na mkuu wa kituo cha polisi cha Central jijini Nairobi Samson Talaam kuhusiana na mauaji ya mwalimu Albert Ojwang kwenye seli za polisi

Hatimaye uchunguzi kuhusu mauaji ya kinyama ya mwalimu Albert Ojwang (31) katika seli za kituo cha polisi cha Central jijini Nairobi umekamilika ambao Ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka ya umma DPP imeamuru kushtakiwa kwa maafisa 3 wa polisi kutoka kituo cha polisi cha Central wakiongozwa na aliyekuwa Mkuu wa kituo hicho Samson Talaam

====

Three police officers in Kenya have been charged with the murder of a 31-year-old blogger who died in police custody earlier this month.

Albert Ojwang's death has sparked outrage in Kenya with protests held to demand justice.

Mr Ojwang was arrested after Kenya's deputy police chief Eliud Lagat filed a complaint, accusing the blogger of defaming him on social media.

Mr Lagat stepped aside last week pending the outcome of investigations into Ojwang's death. He has denied any wrongdoing.

The three police officers - Samson Kiprotich, Talaam James Mukhwana and Peter Kimani - were charged along with three civilians.

All six appeared in court on Monday, but have not yet pleaded.



​
Source: CITIZEN TV KENYA & BBC
 
Back
Top Bottom