AFL: Esperence De Tunis Vs Tp Mazembe | 2nd leg | Stadium: Stade Olympique Hammadi Agrebi | 26.10.2023

Tupe update boss nlipo foleni kubwa sidhan kama ntawahi
 
Vikosi vyote

Esperence De Tunis lineup




Tp Mazembe
 
2'

Mazembe wameanza kwa speed wanapata kona
 
Esperence De Tunis wanakosa bao la wazi kabisa hapa
 
Huyu Namba 12 mgongoni wa Esperence amepiga pasi kali ya kisigino
 
Kona kwa Esperence
 
10'

Esperence wanapata freekick
 
Tp Mazembe wanaokoa shambulizi
 
Mechi ya marudiano katika ardhi ya Tunisia, Esperence wakimkaribisha Tp Mazembe baada ya kukubali kichapo cha bao 1-0 hapa Benjamín Mkapa.

Nani wakuvuka nusu, nani atabaki... Ni saa 18:00 mechi itakuwa mubashara.
Vipi wameshaanza??
 
Esperence wanazuiliwa tena kufanya shambulizi hapa na mpira unatoka nje na kuzaa kona.

Kona inapigwa mchezaji wa Esperence anapiga kichwa mpira unatoka nje ya lango
 
Tp mazembe anapigwa sio chini ya goli tatu hapa leo
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…