AFL: Esperence De Tunis Vs Tp Mazembe | 2nd leg | Stadium: Stade Olympique Hammadi Agrebi | 26.10.2023

Alooo Tp Mazembe katolewa
 
Simba ipewe heshima yake kupata draw na Al ahly ugenini timu namba moja Africa, mazembe ana chapika na timu namba 4 kwa ubora Africa [emoji23]
UPUMBAVU wao tu Makolokolo SC, walishindwa nini kupaki basi baada ya kuongoza goli ugenini kwa dakika zile za lala salama?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Simba ipewe heshima yake kupata draw na Al ahly ugenini timu namba moja Africa, mazembe ana chapika na timu namba 4 kwa ubora Africa [emoji23]
Kabisa, Ukicheza na Aliekuzidi, Mpango Mkakati wa Kwanza ni Kuzuia, Kwenye hilo Simba Walifanikiwa
 
Mpira upo wazi japo Mazembe kafungwa ila katoa game tough, pia refa kaweka mkono wake
Hujui mpira mkuu, mazembe kaenda akiwa na faida ya goli moja.. huo uwazi unaozungumzia ni kukosa heshima kwa mpinzani hususani akiwa kwake matokeo yake kapigwa nyingi. Tizama namna simba alivyocheza na Ahly lupaso na Cairo completely different.. simba alikubali kuwa underdog cairo na ilibaki kidogo tu Ahly ang'oke hapo hapo kwake
 
Simba ipewe heshima yake kupata draw na Al ahly ugenini timu namba moja Africa, mazembe ana chapika na timu namba 4 kwa ubora Africa [emoji23]
Pia uelewe TP Mazembe si ile ya miaka minne nyuma, ikiwa Yanga iliifunga nnje ndani 2023, ulitegemea uwe na maajabu yapi?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Naona Wajomba Wamebeba Bendera Za Palestine, FIFA Wanaruhusu hii?
 
Hujui mpira mkuu, mazembe kaenda akiwa na faida ya goli moja.. huo uwazi unaozungumzia ni kukosa heshima kwa mpinzani hususani akiwa kwake matokeo yake kapigwa nyingi. Tizama namna simba alivyocheza na Ahly lupaso na Cairo completely different.. simba alikubali kuwa underdog cairo na ilibaki kidogo tu Ahly ang'oke hapo hapo kwake
Sawa wewe unae jua mpira niambie kilicho mtoa Simba ilihali alipata nafasi ya kuongoza kwenye mechi zote mbili
 
Ubora wa Al ahly, timu namba moja africa na kama simba angefunguka kama alivyocheza mazembe, angepigwa nyingi
 
Ushabiki mwingine ni mzigo Mazembe kafungwa ngapi na Simba kafungwa ngapi?
 
Back
Top Bottom