Kabisa lakini pia ilikua n game ya kisasi kama aijasahau hawa jamaa waliwahi kumtoa Mamelody juzi Kati kwenye CAF championsHata Hawa petro sio kwamba ni wabaya ila wanazidiwa tu namna ya utumiaji wa nafasi na michezo Yao ya offside trick inawaua...
Hawapati nafasi ya kucheza kuanzia kwenye robo tatu ya mamelodi ni mwendo wa kung'atiwa meno haswa Tena mwilini hamna Cha kuachia spaces .......
Tuna la kujifunza ha
pa
Hapana Kwa burudani game ya Jana ilikua Kali Sana. Sema Leo ilikua game ya ufundi Tu...Siangalii mechi ila nahisi ilitakiwa iwe game ya ufunguzi kuliko Ile nage ya Jana
Mamelody ni wazuri Sana kwenye kupress na kupiga pasi za haraka kuelekea Kwa mpinzani hii mbinu imewavuruga Sana wapinzani wao ambao kila move walihisi n offside...muda mwingine unapokua ugenini cheza Kwa kutomuachia spaces mpinzani kwenye final third Yako ....
Nimeona leo mamelodi na Jana al ahly
then kucheza Kwa kutumia nafasi hasa mpinzani akipoteza mpira mnatumia sekunde chache kufika kwenye 18 Yao Tena Kwa uwingi.
work rate yetu na fiziki zipo chini lakini pia wachezaji hawakimbii ipasavyo per 90 minutes......
Kuna namna ya kujifunza kucheza kikubwa ni lazima wachezaji walale na viatu haswa sio kukabia macho.....
Yah ni sahihi kiongozi ......Mamelody ni wazuri Sana kwenye kupress na kupiga pasi za haraka kuelekea Kwa mpinzani hii mbinu imewavuruga Sana wapinzani wao ambao kila move walihisi n offside...
All in all Kizuri n kizuri lakini chenye ubora n bora
Game ya jana ilikuwa slow sana.Hapana Kwa burudani game ya Jana ilikua Kali Sana. Sema Leo ilikua game ya ufundi Tu...
Nikionaga Yule kocha moyoni hua namuita "black pep" he is genius anajua Sana wanacheza soka Safi na wanashinda hata mashabiki wa Petro hawana pa kulaumu maana wamezidiwa kila kitu kuanzia playing style hadi matokeo... [emoji28]Yah ni sahihi kiongozi ......
angalia hata goli la kwanza jinsi walivyo interchange pale halafu jamaa akatoka Kwa nje akaupiga tena ndani akapita mwingine kwenda kufunga dah [emoji119][emoji122]
Binafsi ninapenda sana wanavyocheza mamelodi na mwalimu wao Guardiola mdogo....[emoji16][emoji119]
Ni kweli lakini ni kwenye kipindi cha Kwanza Tu Ila kipindi cha pili ilikua n amsha amsha mwanzo mwisho dunia nzima imekiri kuona soka zuri lenye burudaniGame ya jana ilikuwa slow sana.
Sure mnazidiwa kote ha ha ha🙌🙌😂Nikionaga Yule kocha moyoni hua namuita "black pep" he is genius anajua Sana wanacheza soka Safi na wanashinda hata mashabiki wa Petro hawana pa kulaumu maana wamezidiwa kila kitu kuanzia playing style hadi matokeo... [emoji28]
Balaa Sana [emoji16]Sure mnazidiwa kote ha ha ha[emoji119][emoji119][emoji23]
HeHeHeMods wako samaki samaki
Bata bata mkuuHeHeHe
Wanafanya nini?
Kichekesho hiki unagusa namba ngapi??Hawa Mamelody pale mbele wanacheza kama Yanga ya sasa.
Nadhani Gamondi atakuwa anaiga hawa Mamelody
DaahMbumbumbu kwenye ubora wenu.
Hata michuano ikianzia robo munaishia hapo hapo robo [emoji23][emoji23][emoji23]
Hawapangi vibonde Kwa vibonde