kulikua na sababu nyinhi za kuiweka game ya jana iwe ya ufunguzi,
kumbuka timu za pot 2 zilianzia home, i.e simba, enyimba, mazembe na petros,....
sasa katika hizo timu, ni uwanja gani ungeleta ladha halisi waliyoikusudia caf? wapi kungekua na mwamko mkubwa kuzidi tanzania?......
kusini mwa jangwa la sahara hakuna nchi inatuzidi kwenye amsha amsha ya mpira,..... so ilikua lazima iwe tanzania maana hata sauzi mamelodi haijazaGi uwanja