AFL: Pumba zote zimeshajitenga na mchele

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Kabla ya kuanza mashindano haya, wapo waliohoji vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki. Pamoja na kusemwa kuwa washiriki walipatwa kwa kutazama mafanikio ya timu hizo kwa miaka mitano kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, waliokosoa hawakukosea.

Wakosoaji, ambao sasa wameonekana ni wakweli, walihoji kuwepo kwa Enyimba na Mazembe kwenye michuano hii. Wote hao wametolewa kwa mabao 3 hadi 4. Wote hao wamefungwa 3-0 jana na wapinzani wao waarabu. Enyimba yeye amekandwa nyumbani na ugenini.

Afadhali hata ndugu zetu Aggregate FC walijitahidi. Ni dhahiri sasa kuwa pumba zimejitenga na mchele. Yaani Enyimba ambaye hakuwika CL kwa takribani miaka mitano anaingiaje AFL? Mzembe aliyepigwa nje-ndani na Yanga anakuwaje AFL?

Sasa, matumaini yetu yapo kwa Mamelodi Sundowns ili nasi Wabantu tuwasumbue Waarabu.
 
Kabla ya kuanza mashindano haya, wapo waliohoji vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki. Pamoja na kusemwa kuwa washiriki walipatwa kwa kutazama mafanikio ya timu hizo kwa miaka mitano kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, waliokosoa hawakukosa.

Wakosoaji, ambao sasa wameonekana ni wakweli, walihoji kuwepo kwa Enyimba na Mazembe kwenye michuano hii. Wote hao wametolewa kwa mabao 4. Wote hao wamefungwa 3-0 jana na wapinzani wao waarabu. Enyimba yeye amekandwa nyumbani na ugenini.

Afadhali hata ndugu zetu Aggregate FC walijitahidi. Ni dhahiri sasa kuwa pumba zimejitenga na mchele. Yaani Enyimba ambaye hakuwika CL kwa takribani miaka mitano anaingiaje AFL? Mzembe aliyepigwa nje-ndani na Yanga anakuwaje AFL?

Sasa, matumaini yetu yapo kwa Mamelod Sundowns ili nasi wabantu tuwasumbue waarabu...
Mamelodi najua hatotuangusha

Najua hiyo Jumapili kuna watu watamshabikia Al Ahly.

Ili tu ashinde wapate kichaka cha kusema kuwa tulicheza na kutolewa na bingwa.
 
Kabla ya kuanza mashindano haya, wapo waliohoji vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki. Pamoja na kusemwa kuwa washiriki walipatwa kwa kutazama mafanikio ya timu hizo kwa miaka mitano kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, waliokosoa hawakukosea.

Wakosoaji, ambao sasa wameonekana ni wakweli, walihoji kuwepo kwa Enyimba na Mazembe kwenye michuano hii. Wote hao wametolewa kwa mabao 3 hadi 4. Wote hao wamefungwa 3-0 jana na wapinzani wao waarabu. Enyimba yeye amekandwa nyumbani na ugenini.

Afadhali hata ndugu zetu Aggregate FC walijitahidi. Ni dhahiri sasa kuwa pumba zimejitenga na mchele. Yaani Enyimba ambaye hakuwika CL kwa takribani miaka mitano anaingiaje AFL? Mzembe aliyepigwa nje-ndani na Yanga anakuwaje AFL?

Sasa, matumaini yetu yapo kwa Mamelodi Sundowns ili nasi Wabantu tuwasumbue Waarabu.
Ahsante kwa taarifa, tutaifanyia kazi.
 
Niliwashauri vijana Mambo mengine usihoji sana utaumiza Kichwa.

1. Simba ameeliwakilisha TAIFA na NCHI kwa ujumla
Tumewaona WATU mashuhuri tuliyokuwa tunawasikia huko nyuma
RAIS WA FIFA.
WENGER.
CORINA.
MOTSEPE NK.

2. Kama NCHI imeshindwa kujitangaza ni juu Yao wenyewe.
Mlima kilimanjarozserengeti, ngorongoro nk..

3. Simba amekusanya zaidi ya BILIONI nane
Maandalizi ya super cup BILIONI 5.5
KUSHIRIKI robo fainali BILIONI 2.5

JUMLA BILIONI 8.5.

HAMKUTAKA SIMBA ISHIRIKI??????????
 
  • Thanks
Reactions: BRN
NADHANI SHIDA HUWA ILIANZIS HAPA KWENYE HIVI VITABU VYA KIHISTORIA
IMG_8024.jpeg

Mashabiki WA Yanga ni wapumbavu.

Mashabiki WA Yanga Hawana Elimu na hawajaenda shule.

Mashabiki WA Yanga ni WAJINGA.

TABULALASA.
 
Niliwashauri vijana Mambo mengine usihoji sana utaumiza Kichwa.

1. Simba ameeliwakilisha TAIFA na NCHI kwa ujumla
Tumewaona WATU mashuhuri tuliyokuwa tunawasikia huko nyuma
RAIS WA FIFA.
WENGER.
KORINA.
MOTSEPE NK.

2. Kama NCHI imeshindwa kujitangaza ni juu Yao wenyewe.
Mlima kilimanjarozserengeti, ngorongoro nk..

3. Simba amekusanya zaidi ya BILIONI nane
Maandalizi ya super cup BILIONI 5.5
KUSHIRIKI robo fainali BILIONI 2.5

JUMLA BILIONI 8.5.

HAMKUTAKA SIMBA ISHIRIKI??????????
Dah.! Rage apewe PHD ya heshima kwa kweli
 
NADHANI SHIDA HUWA ILIANZIS HAPA KWENYE HIVI VITABU VYA KIHISTORIA View attachment 2794522

Mashabiki WA Yanga ni wapumbavu.

Mashabiki WA Yanga Hawana Elimu na hawajaenda shule.

Mashabiki WA Yanga ni WAJINGA.
Wenye akili na walioenda shule wanaandika KORINA badala ya COLLINA.
Rejea hapo chini:-👇👇
Niliwashauri vijana Mambo mengine usihoji sana utaumiza Kichwa.

1. Simba ameeliwakilisha TAIFA na NCHI kwa ujumla
Tumewaona WATU mashuhuri tuliyokuwa tunawasikia huko nyuma
RAIS WA FIFA.
WENGER.
KORINA.
MOTSEPE NK.

2. Kama NCHI imeshindwa kujitangaza ni juu Yao wenyewe.
Mlima kilimanjarozserengeti, ngorongoro nk..

3. Simba amekusanya zaidi ya BILIONI nane
Maandalizi ya super cup BILIONI 5.5
KUSHIRIKI robo fainali BILIONI 2.5

JUMLA BILIONI 8.5.

HAMKUTAKA SIMBA ISHIRIKI??????????
 
NADHANI SHIDA HUWA ILIANZIS HAPA KWENYE HIVI VITABU VYA KIHISTORIA View attachment 2794522

Mashabiki WA Yanga ni wapumbavu.

Mashabiki WA Yanga Hawana Elimu na hawajaenda shule.

Mashabiki WA Yanga ni WAJINGA.
Unajiona una akili sana! Ila katika hali ya kushangaza, hata kuandika tu kwa ufasaha hujui!
Angalia unavyochanganya herufi kubwa na ndogo kwenye sentensi zako!
Hakika unastahili kabisa kuitwa Pomore.
 
Nianzie ku concentrate kuandika hapa????????

Siwezi mkuu naandika bila hata kuangalia!!!!!!!!

Najiandikia nitakavyo hakuna Marks Wala alama za Uandishi hapa.

PATHETIC
 
Kumbe unaweza kuandika vizuri. Basi wewe siyo Pomore.
 
Sijawahi kukuona unatoka hoja ama ukiongea kitu Cha maana

Wajinga kama nyie Lazima mtaichukia kweli....

Na Mimi nitasimama kwenye ukweli Daima
 
Back
Top Bottom