Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Kabla ya kuanza mashindano haya, wapo waliohoji vigezo vilivyotumika kuwapata washiriki. Pamoja na kusemwa kuwa washiriki walipatwa kwa kutazama mafanikio ya timu hizo kwa miaka mitano kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika, waliokosoa hawakukosea.
Wakosoaji, ambao sasa wameonekana ni wakweli, walihoji kuwepo kwa Enyimba na Mazembe kwenye michuano hii. Wote hao wametolewa kwa mabao 3 hadi 4. Wote hao wamefungwa 3-0 jana na wapinzani wao waarabu. Enyimba yeye amekandwa nyumbani na ugenini.
Afadhali hata ndugu zetu Aggregate FC walijitahidi. Ni dhahiri sasa kuwa pumba zimejitenga na mchele. Yaani Enyimba ambaye hakuwika CL kwa takribani miaka mitano anaingiaje AFL? Mzembe aliyepigwa nje-ndani na Yanga anakuwaje AFL?
Sasa, matumaini yetu yapo kwa Mamelodi Sundowns ili nasi Wabantu tuwasumbue Waarabu.