The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
View: https://youtu.be/B1QPlZM3_og?si=GqpjmHKa1Z6nkMB6
Wameanza kutajana wao wenyewe na kutoa Siri walizodhania ni siri;
Shirika la habari la Ufaransa (AFP) limeongea na baadhi ya viongozi waandamizi ndani ya serikali ya Samia na CCM na kufichua Siri kuwa, maelfu miili ya halaiki ya waliouwawa kuanzia tarehe 29/10 wakipinga uchaguzi imezikwa katika misitu ya pori la Kondo na Mabwepande - kuzunguka viunga vya mji wa DSM
Anasema malori kadhaa ya serikali yalionekana usiku kuingia na kutoka katika misitu hiyo yakiwa yamebeba miili hiyo na kuizika ktk mashimo (makaburi ya pamoja) yaliyochimbwa kwa kutumia magreda (Bulldozer Tractors)
Wakizungumza kwa sharti la kutotajwa majina yao kwa sababu za kiusalama, maafisa hao wa serikali ya Tanzania wameieleza AFP kuwa hicho ndicho kilichofanywa na serikali lengo likiwa ni kujaribu kuficha ushahidi wa mauaji yaliyofanywa na serikali ya Samia kipitia Jeshi la Polisi na mercenaries toka nchi za Uganda, Zanzibar na kwingine
NB: Hakuna jiwe ambalo halitageuzwa na kufumuliwa kabisa. Kila kitu kitakuwa wazi
Source: AFP