Africa All Time First Eleven, unakubaliana nao?

Africa All Time First Eleven, unakubaliana nao?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Kwa mujibu wa mtandao wa Score 90 wametoa kikosi chao bora cha muda wote katika soka. Unakubaliana nao, kama hukubalianai nao nani anatakiwa awepo kikosini?
IMG_1242.jpeg
 
Hakimi, Bono, Essien, Asamoh hamna hapo. Unawaacha Drogba, Okocha unaweka vitoto vya juzi hata hamna walichofanya cha maan
 
Back
Top Bottom