Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Huyo ndio alimfanya Gigi Buffon acheze golikipa badala ya Mshambuliaji kwakifupi ni Role Model wakeKwanza golini lazima akae thomas nkono.
Halafu wengine tutadiscuss.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndio alimfanya Gigi Buffon acheze golikipa badala ya Mshambuliaji kwakifupi ni Role Model wakeKwanza golini lazima akae thomas nkono.
Halafu wengine tutadiscuss.
Roger Milla hakuwa na maajab sana, hapo Didier Drogba sawaBila Roger Milla, Jay Jay Okocha, na Mbwana Samatta kuwamo kwenye list, watakuwa wanaota tu.
Basi kama ni hivyo toa Essien weka Chuji🤣toa mane weka NGASA A.K.A ANKO
Wael Gomaa??Mohammed Aboutrika hajawekwa kwasababu amecheza mpira wake Afrika?
chuji ni mvunja kuni tuBasi kama ni hivyo toa Essien weka Chuji🤣
Huyu ndio nafasi yake haipaswi kujadiliwa.Huyo ndio alimfanya Gigi Buffon acheze golikipa badala ya Mshambuliaji kwakifupi ni Role Model wake
Kama aboutrika na okocha hawapo uzi ufungwe ni batili.Mohammed Aboutrika hajawekwa kwasababu amecheza mpira wake Afrika?