Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

Dah hizi dakika za mwisho naziogopa sana, Roho inaenda mbio kwelikweli nina hofu ya
kurudi Mchangani.
 
Mungu ibariki Yanga Africa, wabariki washabiki wake, walaani haters
 
Dakota 83 (1-0)
Hii game Yanga akifungwa mashabiki wa Simba watashangilia mpaka watasahau machungu ya timu yetu.Naomba Yanga ifuzu ili Mashabiki wa Simba wapate hasira ya kuwaondoa hawa viongozi makanjanja..
 
Mungu saidia Yanga....

Nb; ni leo tu kwa kuwa wanawakirisha nchi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…