Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 442
Bado 1-0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii game Yanga akifungwa mashabiki wa Simba watashangilia mpaka watasahau machungu ya timu yetu.Naomba Yanga ifuzu ili Mashabiki wa Simba wapate hasira ya kuwaondoa hawa viongozi makanjanja..Dakota 83 (1-0)
Wadau wa yanga shikeni.....
nimeshika mpaka zinauma mkuu!Wadau wa yanga shikeni.....
Naamini yale ya al ahaly hayatajirudia.Dah hizi dakika za mwisho naziogopa sana, Roho inaenda mbio kwelikweli nina hofu ya
kurudi Mchangani.