Hii game Yanga akifungwa mashabiki wa Simba watashangilia mpaka watasahau machungu ya timu yetu.Naomba Yanga ifuzu ili Mashabiki wa Simba wapate hasira ya kuwaondoa hawa viongozi makanjanja..
Wameongeza la pili dak za majeruhi!Wameongeza dakika ngapi ?
Hizi hujuma tayariZiongezwa dk 5
Acha uhuni wewe.Wameongeza la pili dak za majeruhi!
which history? wenzenu tulishacheza fainaliGo yanga go,lets make a history again
Ya mapinduzi?which history? wenzenu tulishacheza fainali