Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

Hii game Yanga akifungwa mashabiki wa Simba watashangilia mpaka watasahau machungu ya timu yetu.Naomba Yanga ifuzu ili Mashabiki wa Simba wapate hasira ya kuwaondoa hawa viongozi makanjanja..

Umeandika kweli kabisa....mimi mwenyewe nawaombea Yanga ushindi ili roho zituume tuwaondoe wale mabedui pale.....
 
Back
Top Bottom