Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

Africa Confederation Cup: Sagrada vs Yanga at Nelson Mandela Stadium

flash.gif
43' Mounana 1 - 0 Etoile du Sahel

flash.gif
43' Sagrada Esperanca 1 - 0 Young Africans
Imbombo nywamu
 
View attachment 348757 KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA ESPERANCA KATIKA MJI WA DUNDO NCHINI ANGOLA. MECHI ITACHEZWA SAA 9 KWA ANGOLA NA 11, SAA ZA AFRIKA MASHARIKI.
1. Deogratius Munishi
2. Juma Abdul
3. Oscar Joshua
4. Vicente Bossou
5. Nadir Haroub
6. Mbuyu Twite
7. Simon Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Amisi Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Haruna Niyonzima
BENCHI:
1. Ally Mustafa
2. Mwinyi Haji
3. Kelvin Yondani
4. Deus Kaseke
5. Geofrey Mwashiuya
6. Mateo Anthony
7. Paul Nonga
---------------------------------------
Updates :
Esperanca wanaonekana kupania kuwadhulumu waandishi wa habari haki ya kuripoti baada ya kumpokonya kamera mwandishi Musa Mateja kwa madai haruhusiwi kuingia uwanjani wakati timu yao inapambana na Yanga katika mechi ya Kombe la Shirikisho.
Mateja ametolewa nje kwa madai hatakiwi kupiga picha na huo uamuzi umepitishwa na uongozi wa klabu hiyo.
Mwandishi huyo aliambiwa tokea jana kuhusiana na hilo, lakini Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga aliwaeleza kwamba shirikisho la soka la nchi hiyo liliwaambia picha za video pekee ndiyo hawatakiwi kuchukua.
Lakini leo inaonekana mwandishi huyo anaonekana anaweza akaripoti kuhusiana na figisu zao, wametaka aondolewe.
Taarifa zilizoingia hivi punde zinaeleza tayari Sanga yuko eneo la tukio, pia kuna mwandishi wa Mwanaspoti, Gift Macha naye amezuiwa kuingia kama ilivyo kwa Mateja.
huyo mateja atakuwa amezuiwa sababu ya jina lake
 
Chura anacheza cheza chura.. Chura anaruka ruka churaa.. Naimba tu jamani msinielewe vibaya
 
  • Thanks
Reactions: PNC
...watumie simu zao za mkononi kurekodi video,kupiga picha za still,na kurekodi sauti hata kama wanaongea kireno,kisha watuwekee ubaoni,tena wafanye hivyo kila moment
 
Back
Top Bottom