Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Acha wewe siku hizi dstv bei rahisi tu sh 99,000 kisembuzi,sh 17,000 kwa mwezi channel zaidi ya 65 Epl nakula,world cup afcon uefa nakula supersport select 1 & 2
mkuu acha kuongopea jamii, supersport select 1&2 are just dumb ass Tv stations. wanaonyesha news, highlights au marudio ya mechi zilizopita all day long. hamna cha live wala nini, ingekua wanaonyesha mechi zote nani angelipia package ya 152k? labda utuambie unakula marudio. ukitaka kucheki mechi zote live hamna namna zaidi ya kulipia packagee ya 152k. my guess utakua huna ata hio ssport ndugu usingeweza kuongopea jamii kiasi hiki
 
Wadau kama kawaida ule utamu wa afcon unaanza leo 17/01/2015.

TB2 watakuwa hewani kuanzia leo mpaka mwisho wa michuano 8/02/2015. Hata kwa wale ambao hawajalipia king'amuzi tbc2 wataipata live michuano hii ya kombe la mataifa ya afrika(afcon)

makundi ni kama yafuatavyo

equatorial guinea,burkinafaso,gabon,congo.

zambia,tunisia,cape verde na congo drc.

Algeria,ghana,south africa na senegal.

Coded'ivoire,mali,cameroona na guinea.

Leo 17jan kutakuwa na mechi ya ufunguzi kati ya equatorial guinea vs congo pamoja na gabon vs burkinafaso kuanzia saa12jioni.

Karibuni tupate raha ya afcon 2015.
 
wameghairi hawata irusha kuepuka kusambaa kwa Ebola
 
hivi Zambia Si tunafana nao wimbo wa taiga?

tushangilie hiyo hiyo basi
 
Wakuu hizo frequency za RTVGE naingiza kwenye satelite ipi kwenye Azam tv? Msaada si mzoefu sana
 
Wakuu hizo frequency za RTVGE naingiza kwenye satelite ipi kwenye Azam tv? Msaada si mzoefu sana
 
Nimefungua hiii thread muda mrefu sana hata sioni kama mnaonesha hizi mech na huku mmeandika live afcon 2015 muda wote huu nmekaa nasubiri lakini sion mech yoyote ikioneshwa. mi kwa akili yangu nilijua kuwa itakuwa live.
 
Baada ya kushuhudia mnyama akiua mtu huko Nangwanda Ndanda sasa tunashuhudia fainali za AFCON live kupitia TBC2.

Safi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…